Uwehu tu hawa Al shabaab !!. Kulazimisha mtu Imani ndiyo kumfikisha peponi ?!
Pigania nafsi yako si kulazimisha wengine wasiohusika na Imani husika
... dini ya hakhi Mkuu.Dini gani hiyo ya kuhubiriwa kwa mijeledi...!!
Hivi taifa la Cuba kwa umahiri wa makomandoo wa kijeshi walionao kabisa wameshindwa kuwakomboa madaktari wao kabisa, mbona Siamini au thamani ya mkcuba moja kwao km taifa siyo kitu,Vyanzo vya kiintelijensia nchini Kenya vinaashiria madaktari wawili wa Cuba waliotekwa mjini Mandera Kaskazini Mashariki mwa Kenya mwezi Aprili wamelazimishwa na wanamgambo wa al-Shabab kujiunga na dini ya Kiislamu
Mateka wa Al-Shabab walazimishwa kusilimu - BBC News Swahili
Vyanzo vya kiintelijensia nchini Kenya vinaashiria madaktari wawili wa Cuba waliotekwa nchini Kenya wamesilimishwa kwa lazima.bbc.in
Maeneo ya Shabab ni deep sana mkuu ndani ya Somalia. Ngumu kuingilika huko!Hivi taifa la Cuba kwa umahiri wa makomandoo wa kijeshi walionao kabisa wameshindwa kuwakomboa madaktari wao kabisa, mbona Siamini au thamani ya mkcuba moja kwao km taifa siyo kitu,
Natumaini angekuwepo Fidel Castro pangechimbika.....!
Huu uislamu wako labda wa tia maji tia Maji wakati mwingine unapoozea Kwa kitimoto na bia huku umefuga mzuzu na kanzu safi nyeupe. Ule wenyewe haswaa unalazimisha hasaa watu kuwa waislamu. Hata mtume mwenyewe aliingia front kupambana na anaowaita makafiri!Katika Uislamu hakuna kumlazimisha mtu kusilimu, hii taarifa huenda ni feki,,na kama ni kweli basi hao hawaufuati uislamu unavyotuamrisha.
Huu uislamu wako labda wa tia maji tia Maji wakati mwingine unapoozea Kwa kitimoto na bia huku umefuga mzuzu na kanzu safi nyeupe. Ule wenyewe haswaa unalazimisha hasaa watu kuwa waislamu. Hata mtume mwenyewe aliingia front kupambana na anaowaita makafiri!
Ngoja waarabu weusi wa tz waje
Ndugu yangu upoWengi wenu humu mnaunga mkono akiletacho mleta uzi, bila kujua taarifa zake anaziokotea wapi, haijalishi fake news au chuki zake tu kwa waislamu,ilimradi tu mshabikie msichokijua. Poleni sana wabantu wa kiyahudi.
Kama ndio hakhi hiyo nafuu tu kuikosa.... dini ya hakhi Mkuu.