Al-Shabab Wawalazimisha Madaktari Wa Cuba Waliowateka Kenya Kujiunga Na Dini Ya Kiislamu

Jackal

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
9,519
12,613
Vyanzo vya kiintelijensia nchini Kenya vinaashiria madaktari wawili wa Cuba waliotekwa mjini Mandera Kaskazini Mashariki mwa Kenya mwezi Aprili wamelazimishwa na wanamgambo wa al-Shabab kujiunga na dini ya Kiislamu
 
Hivi taifa la Cuba kwa umahiri wa makomandoo wa kijeshi walionao kabisa wameshindwa kuwakomboa madaktari wao kabisa, mbona Siamini au thamani ya mkcuba moja kwao km taifa siyo kitu,
Natumaini angekuwepo Fidel Castro pangechimbika.....!
 
Maeneo ya Shabab ni deep sana mkuu ndani ya Somalia. Ngumu kuingilika huko!
 
Katika Uislamu hakuna kumlazimisha mtu kusilimu, hii taarifa huenda ni feki,,na kama ni kweli basi hao hawaufuati uislamu unavyotuamrisha.
Huu uislamu wako labda wa tia maji tia Maji wakati mwingine unapoozea Kwa kitimoto na bia huku umefuga mzuzu na kanzu safi nyeupe. Ule wenyewe haswaa unalazimisha hasaa watu kuwa waislamu. Hata mtume mwenyewe aliingia front kupambana na anaowaita makafiri!
 
Mkuu, hujui ukisemacho. Ni heri ukae kimya kuliko kujisemea.
 
Wengi wenu humu mnaunga mkono akiletacho mleta uzi, bila kujua taarifa zake anaziokotea wapi, haijalishi fake news au chuki zake tu kwa waislamu,ilimradi tu mshabikie msichokijua. Poleni sana wabantu wa kiyahudi.
Ndugu yangu upo
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom