Toa taarifa iliyo kamili mkuu, wapi? basi gani? nchi ipi?Safari hii lile kundi la Al Shabab limelipua bomu kwenye basi na watu 8 wamepoteza maisha mpaka sasa
mkuumbona huna remose kwa wakenya??kenya mpaka watajuta kwanini wameingilia vita isiyowahuuu..
wana kiherehere sana kenya wakome sasa
mkuumbona huna remose kwa wakenya??
unajua kwamba the war was neccesary as the al shabab wameshafika zambia na mozambique??? do you know uharamia wa majini wote pesa yao ndio inayowashibisha baadhi ya mafisadi tunawaona kwenye vxv8??
do you know kwamba baada ya kenya na ugand ni sisi with or without kuwavamia?? umeshafika arusha ukaona preps wanazofanya ??
have you ever thought kwa nini tumekaa kimya kama serikali kwenye international arena juu ya hili??
Nakua kama sikuelewi vile!!!
sasa unalink vipi kwenda kupambana na wanajeshi kwa kulipua daladala?? I wish ungekua kwenye karinyekarinye la julai walipopiga bomu pale embassy in dar ndio ungeelewa nini kinahusu na nini hakihusu
Jah bless, kuna siku utaelewa kwamba with kenya kwenda somalia or not, this was bound to happen and hiyo accumulation ya arsenals inandelea every country huku kwetu na kibaya zaidi nchi yetu is more porous subiri time will tell
wana kiherehere sana kenya wakome sasa
Kazi ya Mungu haina makosa.
Mkuu, unamaanisha kuwa hao Al Shabaab ndio Mungu au?Kazi ya Mungu haina makosa.
wana kiherehere sana kenya wakome sasa