Al-Shabab claims peacekeepers' killings

Al-Shabab claims peacekeepers' killings

Mimi niliandika 70 Burundian soldiers killed.Mods si kwamba angalau waichanganye na hii bali imefutwa yote.
Hata hii nayo inaonesha balaa linaloinyemelea Afrika Mashariki kwa kuingizwa kwenye mitego na nchi za Magharibi.Zipo dalili za kutosha kwamba jeshi la Burundi chini ya AU limepata hasara kubwa hapo juzi.Nikiangalia huko mbeleni sioni wepesi wa kuwamaliza wasomali wenye kupinga ukoloni.
Witnesses say the bodies were not Somalis and most were dressed in military uniforms.
"I have seen the largest number of soldiers killed in a battle, I have counted 63 Burundian soldiers, all of them dead, the Shabab brought them on trucks to Alamada," Hasan Yunus, a witness, said.

 
Al-Shabab ni noma hawa jamaa Kenye nayo imeingia kwenye mtego ngoja tuone
 
baqti burundi 020.JPG




baqti burundi 040.JPG




baqti burundi 075.JPG




baqti burundi 091.JPG




baqti burundi 124.JPG




baqti burundi 132.JPG
 
Wanatembea na Biblia na misalaba ?.
Sijui walikuwa wanasoma au ndio wanaonesha nia yao ya kuweka ukristo kwenye uislamu?.
 
Wanatembea na Biblia na misalaba ?.
Sijui walikuwa wanasoma au ndio wanaonesha nia yao ya kuweka ukristo kwenye uislamu?.

YESU kawaacha mkono ,misalaba na biblia yao haikuwasaidia kitu
 
Hawa jamaa wana laana. Yaani bado wanaishi kwenye zama za jiwe (stone age)!
 
YESU kawaacha mkono ,misalaba na biblia yao haikuwasaidia kitu
Na wasomali wanaokufa kwa mtutu na njaa kiasi cha kusubiria misaada ya chakula kutoka kwa 'makafiri' ina maana allah na Mwamedi have ZERO control na 'walioamini'. Miafrika bana..lol
 
Thanks , freemasons fanatic
At least freemasons have free minds na wana excel kwene life kuliko miafrika kaa wewe maskini inayouana kaa kuku huku ikiabudu dini za kikoloni zilizobuniwa na watu walokuwa wakiishi mapangoni na kutawadha kwa kutumia mawe.
 
hawa jamaa ni hatari, ninaposema hatari namaanisha HATARI!
 
Hawa Masheikh wa bandia tu, Si Lolote! Shame On Them Kutumia Kofia Ya kidini kufanya maovu yao!
 
Back
Top Bottom