Al shaabab yawa chama cha siasa!

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,509
11,881
kundi la Al shaabab kimekuwa chama rasmi cha siasa na kuitwa SOMALIA ISLAMIC EMIRATES,jee wazungu watakipokeaje chama kutoka ktk kundi la kigaidi na kuwa chenye jina la kizungu ukilinganisha na al shaabab la kiarabu?
 
wazungu ni wanafiki tu,hawana mpango wowote,je Kenya wameshaondoka Nchini Somalia maana walikwenda kupigana na Al shabab? Nalog off
 
wazungu ndio wana wa finance al shabaab sasa wameona kuwa kenya wanataka kuwamalizia ulaji wao ... al shaab wanatoaga wapi nguvu kuteka meli kama sio wazungu hao hao .. blaahh hawaipendi africa at all
 
Mmmh, hata mimi ningepinga,, haiwezekani kwa magaidi kuwa chama cha siasa halafu watu mka-relax...
Manake hao motive yao ni kuharibu, je mnajihakikishia vipi kwamba hiyo motive imewatoka?

Big No..

By the way, mkuu hebu tupatie source ya hii taarifa..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom