Al Qaeda slams Iran for peddling 9/11 conspiracy theories | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Al Qaeda slams Iran for peddling 9/11 conspiracy theories

Discussion in 'International Forum' started by Azimio Jipya, Sep 29, 2011.

 1. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #1
  Sep 29, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  It's not often foreign leaders are chastised by al-Qaeda for going too far in their critique of the United States--but Iran's President Mahmoud Ahmadinejad has somehow managed the trick. Ahmadinejad is already facing bruising attacks at home from conservative Iranian clerics and politicians on several fronts--and now al Qaeda representatives are assailing him for peddling conspiracy theories that deny the terrorist group's culpability for the Sept. 11 attacks.

  According to the new issue of "Inspire" magazine--the English-language propaganda outlet put out by the group's Yemeni affiliate al-Qaeda in the Arabian Peninsula (AQAP)--wee*Ahmadinejad insulted the terrorist group by renewing past conspiratorial claims about the attacks on the World Trade Center and the Pentagon during his speech before the United Nations last week.

  "The mysterious September 11 incident" merits an investigation into possible "hidden elements involved" seeking a pretext for America's invasion of the Middle East, Ahmadinejad suggested in his Sept. 22 address to the world body--prompting an immediate walk-out by the United States and several European delegations.

  And it seems that this was all a bit much for al Qaeda.

  More News ...Al Qaeda slams Iran for peddling 9/11 conspiracy theories | The Envoy - Yahoo! News
   
 2. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  MY TAKE. Lets be honest .. how many*people*think and see things as*Iran's*President... to the extent of his*denial!!
   
 3. Gamba la Nyoka

  Gamba la Nyoka JF-Expert Member

  #3
  Sep 29, 2011
  Joined: May 1, 2007
  Messages: 6,607
  Likes Received: 6,774
  Trophy Points: 280
  Ahmednejad kawashika pabaya Wamarekani, wanachokifanya hivi sasa ni kupreempt information eti ionekane kwamba Alqaeda imechukizwa na kitendo cha "kuwanyanga'nya" ujiko wa kitendo cha 9/11.

  Sasa hivi Marekani na duniani kuna kundi kubwa sana la watu wasioamini official narration ya 9/11, hawa wanadai kuwa pamoja na ndege kugonga twin towers wanadai kulikuwa kuna demolition ya majengo iliyofuata baada ya hapo, wanadai kitendo cha jengo la World Trade center number 7 kuanguka bila kugongwa na ndege wala kuungua kwa moto ni ushahidi wa wazi kwamba yale majengo yalikuwa demolited,( wanadai hivyo)

  motive ya hiyo demolition ni nini?, ili kupata pretext ya imperialistic wars!.
  Ngoja tuone hii issue itunfold vp siku za usoni, ila kama Wamarekani kweli walifanya hii kitu kama False flag operation, basi imekula kwao!
   
 4. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #4
  Sep 29, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kikuweli kwangu ni utata mtupu!

  Mwanzoni hizi habari zilikuwapo ... Nikitumia lorgic ... nikajiuliz ahivi kweli ile ile issue ... niyakupanga.. ? Kiulwekweli kabisa .. Lile tukio linapangika?*

  Lakini karibuni ...peke yangu nikareplay zile picha za matukio kwa makini na mara nyingi ... nikaanza kupata mshangao ...hivi kweli zile ndege ...zinawezaje kutoboa ...upende wa jengo hadi mwingine.... Honestly kwa hapo kuna kitu hakijakaa veama ... Am waiting to see and here more...
   
 5. Joss

  Joss JF-Expert Member

  #5
  Sep 29, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 729
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Suala la ndege kutoboa jengo kutoka upande mmoja hadi mwingine, ni suala la laws of physics, ndege ilikuwa na speed kiasi gani na uzito kiasi gani, impact yake pia inakuwa kubwa kwa kuwa jengo lilikuwa stationary(halikuwa kwenye mwendo). Pia katika masuala ya ujenzi wa maghorofa, kadiri urefu unapokuwa mkubwa ndipo density ya material inapungua ili kubalance uzito, hivyo ni rahisi ndege na momentum(kani itokanayo na tungamo na mwendo mnyooko) yake kupenya hasa ukiangalia umbo la ndege pia.
   
 6. Mr.Toyo

  Mr.Toyo JF-Expert Member

  #6
  Sep 29, 2011
  Joined: Feb 9, 2007
  Messages: 433
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
 7. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #7
  Sep 29, 2011
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Mbona hayo mabaki ya ndege hayakuonekana?.Njia ya muongo ni fupi,eti kilichopatikana kutoka katika ndege ni tairi na baadhi ya karatasi za nyaraka za abiria.Niambie ni law gani ya Physics inayopelekea tairi la ndege kubaki na pressure yake na karatasi katika tukio ambapo hata chasis ya ndege yenyewe iliyeyuka?.
   
 8. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #8
  Sep 29, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Joss, Theory na concept vinakubalika bila shaka yeyote ile ... sasa atokee mtu afanye real calculations ... Kama hilo likifanyika itakuwa ndio muafaka. Na kuonyesha kuwa speculation na concept ...vimekuwa sahihi ... Ni mtizamo tu ...!!
   
 9. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #9
  Sep 29, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
 10. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #10
  Sep 29, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Ami,*

  Malizia unachotaka sisi tujue... Yaani kama mabaki ya ndege yangeonekana Chasis nk HIVYO VINGEABADILI VIPI MTIZAMO WA TUKIO ZIMA? ... tofauti na Ulivyo sasa?
   
 11. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #11
  Sep 29, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  For sure the conclusion of that law will be extraction and stealing of oil in the middle east.

  Kinachonikwaza ni kwamba hata pentagon hakuna baki la ndege lililoonekana kwamba boeing 777 ilitumbukia mjengoni na maelfu ya galoni za Jet oil kama galoni zaidi ya elfu saba. IF it was true basi damage ingekuwa kubwa kuliko ilivyotokea. Labda ukweli utakuja kujulikana baada ya miaka 70. Maana hata ukweli kuhusu kifo cha JF Kennedy bado umefichwa.
   
 12. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #12
  Sep 29, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Utingo,

  Hapo nyekundu .... unadhani kuna kitu kingine kilitumika kufanya hiyo ajali? ... na sio ndege ..? Lakini ni kweli ndege ziliondoka airport, zilipotea na watu waliokuwamo ndani *na hilo ni tukio la kweli ... Kwahiyo ndege zilihusika .... Bila shaka yeyote ile..Au?
   
 13. Gamba la Nyoka

  Gamba la Nyoka JF-Expert Member

  #13
  Sep 29, 2011
  Joined: May 1, 2007
  Messages: 6,607
  Likes Received: 6,774
  Trophy Points: 280
  Ukisoma kitabu cha "9/11 Synthetic terror" (hebu kigoogle, pdf yake iko inapatikana), mwandishi mr Tarpley anasema kuna kipindi intelligence cycle za marekani zilikuwa zinatafuta stratergy au sababu ya kuishambulia Cuba, mmoja akawa anapendekeza warushe ndege ya abiria kwa makusudi, then ikifika anga la cuba, wamarekani wao wenyewe wailipue halafu wasingizie Cuba kwamba ndo imefanya hivyo, then wapate sababu za kuivamia Cuba kijeshi.

  huyo aliyetoa wazo hilo alipendekeza zitafutwe ndege mbili zinazofanana, zenye namba sawa, moja iwe na abiria nyingine isiwe na abiria, yenye abiria(maagent ofcourse) iruke, then ikifika sehemu/uwanja wa ndege wa siri itue , then ile isiyokuwa na abiria iende moja kwa moja mpaka anga la cuba, halafu wamarekani wailipue kisha wamsingizie Castro kulipua ndege na kuua watu then wampe kichapo.

  nadhani hapo unaweza kupata clue ya false flag operation yenye kuinvolve abiria inavyoweza kufanya kazi, by the way mbona wale waliosemekana ni hijackers wengine walikuja kufahamika kwamba wako hai na wanapeta?- hebu kitafute hicho kitabu kwenye google "9/11 synthetic terror"

  Katika hicho kitabu mwandishi ameelezea pia kwamba ndege za siku hizi zinaweza kuwa controlled kutokea kwenye controlling centers, rubani anakuwepo pale tu lakini centres wanaweza kucontrol ndege kwenye kutua, orientation n.k, kwa hiyo chini wakihijack system ya ndege wanaweza kufanya watakavyo, na rubani akabaki kama boya tu, technology inayotumika ni kama ile ya unmanned drones- kwa hiyo kama kuna conspiracy ya kuibamiza ndge mahala, control centres wanaweza kufanya
   
 14. N

  Nonda JF-Expert Member

  #14
  Sep 29, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,960
  Trophy Points: 280
 15. D

  Derimto JF-Expert Member

  #15
  Sep 29, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Watu wanapenda kuambiwa na source za tbc hawataki kutumia akili zao kuweza kujua ukweli kwa kusoma makala mbalimbali kutoka vyanzo mbalimbali vya habari.
   
 16. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #16
  Sep 29, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Nimeptia hizo post ... Kuna uwezekano mkubwa hii dunia tunayoiona ... sivyoiilivyo kabisa. Ni vema mtu akachukua muda wa kutosha na kufuatia haya matukio kwa taratibu bila emotions na papara ..na kwa utulivu tu ... kupata personal conclusion ya mwenendo wa ujumla wa hii sayari yetu!
   
 17. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #17
  Sep 29, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mkuu kweli hiki hapa ....9 11 synthetic terror pdf free ebook download from www.insaf.pk

  Najiuliza ... Malengo ya kweli ya michakato kama hii ... na mwisho wake wote ...inatupeleka wapi ... ?
   
 18. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #18
  Sep 29, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Enzi za mwalimu .... Source ... Zilikuwa finyu na very limited lakini kwa sasa ...? ohh ...Just your time and kuondoa uvivu *tu!!
   
 19. Joss

  Joss JF-Expert Member

  #19
  Sep 29, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 729
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Nimeangalia hizo links, ofcourse kuna maswali mengi kuliko majibu. Hususani kwenye hizo new explosions chini kabisa ya point of impact. Ni kama zilipangwa.

  Anyway laws of physics huwa hazifeli, ila kwa hii kuna maswali kama ni kweli ndege tu ndo iliangusha jengo lote.
   
 20. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #20
  Sep 30, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Yes! all this so strange ... but at least one day world should get the answer to all this ... how soon that isn the point in question ...Lakini kuwe na namna ya kuuona mwanga wa haya mambo ... is this really possible wait to see!!
   
Loading...