Al Qaeda slams Iran for peddling 9/11 conspiracy theories

Al Qaeda slams Iran for peddling 9/11 conspiracy theories

Nimeangalia hizo links, ofcourse kuna maswali mengi kuliko majibu. Hususani kwenye hizo new explosions chini kabisa ya point of impact. Ni kama

Anyway laws of physics huwa hazifeli, ila kwa hii kuna maswali kama ni kweli ndege tu ndo iliangusha jengo lote.

TEMBELEA HAPA PLEASE AND WATCH [video]http://www.911missinglinks.com/watch-movie/[/video]
 
TEMBELEA HAPA PLEASE AND WATCH [video]http://www.911missinglinks.com/watch-movie/[/video]

Mkuu kweli hiki hapa ....9 11 synthetic terror pdf free ebook download from www.insaf.pk

Najiuliza ... Malengo ya kweli ya michakato kama hii ... na mwisho wake wote ...inatupeleka wapi ... ?

Kwa kweli ukisoma Hicho kitabu na ukaptia hizo video na nyingine ... Lazima mtu ujiulize na kutafakari upya ...sio suala la tukio la 9/11 tu! Ni namana dunia nzima inavyojiendesha au kuendeshwa.

Nafikiri ni muhimu kuweza kupitia na kuelwa undani wa mambo kama haya kwa jili ya kuweza kuchukua hatua, kutoa maamuzi mbalimbali kwenye maisha yetu.
 
Kanuni za mwendo ( laws of motion, kinetic energy, power of explosives) zinanifanya niamini kwamba ndege zilizopiga pale zililipua hayo majengo pacha. Kama kanuni ya ugaidi lazima palipandwa mabomu kwenye hayo majengo na mawakala wengine waliokuwa pale kama investigative report video inavyoonyesha.
Haya mambo huwa yanakuwa bayana baada ya muda . Tusubiri muda upite wakati huku tukiendelea kuchambua mantiki ya conspiracy theories mbali mbali.
 
Haya mambo huwa yanakuwa bayana baada ya muda. Tusubiri muda upite wakati huku tukiendelea kuchambua mantiki ya conspiracy theories mbali mbali.

Muda wenyewe ndo umeshafika..maana kila kitu kiko bayana.
 
Kanuni za mwendo ( laws of motion, kinetic energy, power of explosives) zinanifanya niamini kwamba ndege zilizopiga pale zililipua hayo majengo pacha. Kama kanuni ya ugaidi lazima palipandwa mabomu kwenye hayo majengo na mawakala wengine waliokuwa pale kama investigative report video inavyoonyesha.
Haya mambo huwa yanakuwa bayana baada ya muda . Tusubiri muda upite wakati huku tukiendelea kuchambua mantiki ya conspiracy theories mbali mbali.

Mkuu umesema unaamini kanuni yaMwendo peke yake au Kanuni ya mwendo pamoja na Kanuni ya Ugaidi....?
 
Kuna jambo ambalo hata the laws of motion in physics cannot explain. I would have expected that due to the impact, the twin towers should have bent and fallen on their sides, if not whole length because of the speed of the planes then at least slightly. lakini kililchotokea kilinishangaza sana maana baada ya sekunde kadhaa, after the impact yale majengo "they literraly sunk vertically". Kana kwamba kulikuwa na base plate iliyoondolewa ghafla kwahiyo yakashuka chini. Hiki kitu hakikuniingia sana akilini. There were a few elements of the incidence that defied the laws of nature if I may say.
 
Mkuu

Personally*I opt to this observations... You see just after the*incidence..they media*took*front .. they*hypnotized*the mass with what hey think ..or sent to make us think is really what happened...

AND*

Indeed the whole*world*while still n deep*shock... ware taken as kind of zombie and took the bite ...not taking time to calmly watch,*observe, contemplate and come with*their*personal and objective conclusion ... something which is coming out now ... though late ...but not late enough for the whole truth to be said ...As others had put it ...*soon*the whole thing will*totally,objectively*and very clearly be out there!!
 
Back
Top Bottom