Al Merrekh 0-0 Simba | Al Hilal Stadium | CAF

Al Merrekh 0-0 Simba | Al Hilal Stadium | CAF

Point 1 muhimu sana

Kwa jinsi nilivyowaona hawa jamaa wana uwezo wa kutupiga kwa Mkapa
Hawa hawawezi kutufunga nyumbani nasema tena hawana, hapo wapo kwao kazi ya kujiangusha ovyo mpira haueleweki ndo waje watufunge kwetu hao subutu.
 
Hawa hawawezi kutufunga nyumbani nasema tena hawana, hapo wapo kwao kazi ya kujiangusha ovyo mpira haueleweki ndo waje watufunge kwetu hao subutu.
Sio vibonde kama tulivyodhani, wanafungika lakini sio timu ya kuichukulia poa
 
Simba hajapiga biriani kabisa leo sijuwi tatizo nini.
 
Tunatoa drop ya Yanga princess... hatutaki kuharibu marinda ya watani zetu...
JamiiForums-915785170.jpg
 
Back
Top Bottom