mmakonde mjanja
JF-Expert Member
- Jun 7, 2016
- 288
- 128
Naomba kuuliza hiki chuo kinatambulika au pesa zangu za korosho zitaenda bure? Naomba Masada wenye kujua
Ahsante ngoja nizameFungua website ya TCU au NACTE uangalie orodha ya vyuo vinavyotambulika na kusajiliwa mkuu
poapoaAhsante ngoja nizame
Nimekiona thanks hela zakorosho Zitaenda kihalalipoapoa
Hongera mkuu na usome kwa bidiii...Kila la heriNimekiona thanks hela zakorosho Zitaenda kihalali
Ahsante nikikwama Nita kutafutaHongera mkuu na usome kwa bidiii...Kila la heri
fresh sanaAhsante nikikwama Nita kutafuta
Haha haha hahaAhha hicho chuo au bwawa la samaki maji yanajaa hapo nenda huko T bovu
na ukifanikiwa pia mtafuteAhsante nikikwama Nita kutafuta
Poa nitamtafutana ukifanikiwa pia mtafute
Dit ila mziki wa pale bora ubaki hapo al maktomHaha haha haha
Nibebe mtumbwi nini
Kipi ni chuo kizuri dar cha technical ( umeme)
Msaidie chinga bhana
Ok shida ni nafasi au usomajiDit ila mziki wa pale bora ubaki hapo al maktom