Al-Jazeera swahili channel is very dangerous for East African and their unity..

Macos

JF-Expert Member
May 12, 2008
1,979
1,416
The news that Aljazeera Tv want to start swahili channel in east africa is disturbing , lets beware with this channel its not the same al jazeera we know, they have created hell in Libya ..a lot of lies , piles of lies and misinformation...they have completely destroyed Libya .....Qatar goverment the Usa purpets are supporting and supplying rebels ..al qaeda in libya....and al jazeera are falsifying every news they report about libya.....

They are not proffesionals they are biased and they just report what their Qarari sheikh wanted......

Because they have grudges with Gadaafi when he told them in Arab league that they work for USA to destroy Iraq and killing palestine...so now they want to detroy him and Libyan people.....and they are using al jazeera as their tool for lies against Libya Goverment.

Now they're spreading Lies on Syria and Syria is on fire ....this is aljazeera.......we must be very careful with this type of channels in our country....ours is very delicate society with religion tension on high rise during last year election..... am afraid with this powerful channel which serve the imperialist interest could destroy our peaceful country.

In Kenya tribes politics could be very much fueled and erupted more than last election. We should not entertain and licence an HATRED and irresponsible channel like this, otherwise our unity is at stake.
 
Last edited by a moderator:
Sidhani kama kutoa habari kuna madhara makubwa kwa jamii ya nchi zinazozungukwa na channel hii , labda kama nchi hizi zitakuwa haziwatendei vema raia wake hivyo basi watafahamu nini haki yao na kuanza kudai uhuru wao.
 
Magamba yako bize kutafuta wachawi.............. kesho tutaambiwa kariakoo is very dangerous, wamechagua diwani wa chadema, wanataka kupindua nchi, they are not good ot our sovereignty blablablah

crap sh!t

wach tuone both sides of the coin
 
Mkuu, sijui hii ni ya lini ila leo hii, wote wamesema kuwa mapigano yameingia capital city Tripol.

Na yule msemaji wa Serikali- Ibrahim, alikuwa akijisifu kuwa Mji Mkuu unalinwa na askari wazuri sana na Wapinzani si professional na waoga na wanapata ushindi kwa sababu ya NATO kurusha mabomu. Wanatishia kuwa wakija Tripoli, damu itamwagika. Ukiangalia macho yake, unaona kuwa anafahamu kuwa kichapo kitafika sasa hivi nyumbani kwake.

Juu ya East Africa, acha waje labda wataanza kutufungua macho na kuwaumbua Mafisadi maana watakuwa hawana aibu. Haya ya kujifanya kushambulia watu, yataisha. I hope Jerry Murro atapata na yeye kazi hapo na ndiyo aanze kuwalima sasa Polisi wa Tanzania bila aibu.
 
Magamba yako bize kutafuta wachawi.............. kesho tutaambiwa kariakoo is very dangerous, wamechagua diwani wa chadema, wanataka kupindua nchi, they are not good ot our sovereignty blablablah

crap sh!t

wach tuone both sides of the coin


kwa nini magamba wanapenda sana kujihami
sasa tunasikia wanataka kuondoa tv bungeni ili tusione yanayoendelea kwenye bunge letu
wakuu hawa watu wanatuchelewesha sana,kama vipi tuharakishe mabadiliko na ikiwezekana wakishatoka ni kuwachinja wote ili tuondoe ile laana walio nayo
 
CCM mnaogopa eeenh mnajidai a lot of lies, mtajijuuu Aljazeera njooni tunataka uhuru kwa gharama yoyote ile!!
 
Magamba yako bize kutafuta wachawi.............. kesho tutaambiwa kariakoo is very dangerous, wamechagua diwani wa chadema, wanataka kupindua nchi, they are not good ot our sovereignty blablablah

crap sh!t

wach tuone both sides of the coin

Sioni haja wala sababu ya kuiogopa Aljazeera Swahili (Chombo huru cha habari). Kama mtu hauna mpango wa kufanya maovu na kuyafunika ili watu wasijue. Uwepo wa vyombo huru ni neema kwa wapenda haki na uwazi katika demokrasia na utawala bora. Ni mwizi pekee atakayekuwa na woga na kituo cha polisi. Wakati wa kutumia vyombo vya habari kama propaganda za kisiasa ili kuendeleza dhulma na uonevu zilikwisha siku nyingi sana. Katika dunia hii ya Facebook, twitter, Forums huru, na utandawazi wa kila aina, one should not fear Aljazeera bali kilichopo ni kuji-tune katika kuegemea ukweli na kukubali kukosolowa.

Serikali ya Tanzania na CCM hawana haja ya kuigopa Aljazeera kwa kuwa kuna mtu anaitwa Tido Mhando waliyemuengua kulipa kisasi kwa kuruhusu mijadala moto kwa CCM wakati wa uchaguzi na kumuona msaliti. Tido na Aljazeera hawatalipa kisasi kama ambavyo mentality za viongozi wa Tanzania zilivyojengeka, bali Aljazeera itafuata mkondo wa chombo huru kinachoripoti habari bila kuangalia wewe ni nani mradi tu habari hiyo si uzushi.

Wakati wa kujirekebisha ni sasa, kuzuia vyombo vya habari huru visifanye kazi ni sawa na kuufungia mwili wa mfu katika jeneza bila kuuzika kwa hofu ya kujulikana kuwa kuna kifo na badala yake kulinyunyizia perfume jeneza huku mwili ukiendelea na decomposition, aibu itakuja pale bacteria and larvae watakapoanza kutoka ndani ya jeneza hilo, na huo utakuwa ni msiba mkubwa kwa mwenye nyumba. Maana hataeleweka na watu watauliza kwa nini alificha?, je yeye ndiyo muuaji? na maswali mia kidogo.
 

They are not proffesionals they are biased and they just report what their Qarari sheikh wanted......

Because they have grudges with Gadaafi when he told them in Arab league that they work for USA to destroy Iraq and killing palestine...so now they want to detroy him and Libyan people.....and they are using al jazeera as their tool for lies against Libya Goverment.


Kwa serikali makini Tanzania walitakiwaku loobby hawa jamaaa maaomakuu ya kiswahili yawe tanzania. By that way. Hapo system ya tanzani ndio tungejua inafanya kazi na somehow wangeweza kuntralise propaganza zao kwa wao tu kuwa based Tanzania.

Sasa kwa kuwa wako kenya ndio hivyo kenya wanaupper hand zaidi ya nchi nyingine. Mchawi kaaa naye namaswahiliwanasemampe mtoto wako akuleee. SOsimpy ilitataiwakamaaljazeera naachahiw tuhaikise wana base Tanzania. Threat yao ingepungua.

Tunawauzia wanyamaa kwa bei ya karanga lakini tunashindwa kuwashawishi kwenye mambo mengine tunayotakiwakuwa na stake.
 
Macos, Usiogope. Kwanza usizungumzie Gaddafi, Ongelea baada ya Gadafi hali itakuwaje. Sasahivi vijana wamebakiza kilometa kumi na saba Tripoli moyoni. Huenda Kesho Libya yatakuwa mambo ya historia. Hata hivyo, Unamhurumia wa nini mtu aliyetupiga kupitia kwa Idd Amini DADA? Atatawalaje zaidi ya miaka 40 peke yake? Je? Libya haina watu wengine wenye kili? Aljazeera inanyoosha tu.

Kuhusu kiswahili usiwe na wasi, Mkuu wa idhaa hiyo ni Mwenzetu TIDO MHANDO. Sana sana atatusaidia mijadala ya wagombea ionekane bila upendeleo. Kuna tatizo gani hapo?
 
Media propaganda, tabia ya ukomunist hii. Kuwafanya watu wachukie kitu hata kabla ya kuona! How dangerous is it? to what extent is it a threat?
 
  • Thanks
Reactions: EMT
I enjoy very much watching AlJazeera English, especially their in depth coverage of hard to reach places/ non-priority markets for the western media.

I would like very much to see a similar focus on the East African front.

In case of misinformation, that can be fought with information. I see the original post as a bout of paranoia or even malicious propaganda.

The more coverage we have, the more transparent these countries become, and we need every bit of that transparency.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Siwezi kushangaa kusikia kwamba hawa jamaa walitaka makao makuu yao yawe Tzananaia lakini kwa vigezo vyaUWT yetu amabyo ni vya kizamaani , ukiongeza na wana siasa ambao wanajua wanafanya madudu mengi jipu jepesi lakini wrong lilikuwa ni No
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Mr. Macos you deserve the label a political somnambulist. Your analysis of Al Jazeera is fraught with simplistic assertions that hold no water. In this era of technological revolution, with its resultant advancements in media and communication, such views as yours are both jagged and outdated. The search for truth is an irreversible trait in the history of mankind. Instead of expressing your paranoia you should be wishing the new Al Jazeera Kiswahili channel welcome!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Nilijua tuu lazima mtu ataanzisha thread kama hii. Ilikuwa tuu nani aataanzisha thread. Ukiangalia wakati wa, vita ya Iraq, then the Tunisia na Egyptian revolutions watu walikuwa wanaifagilia sasa Al Jazeera. Lakini tokea watangaze wanaanzisha channel ya Kiswahili East Africa, ghafla baadhi ya watu wameiweka kundi moja na other western media media.

Any person who supports status quo will hate Al Jazeera. Kazi kweli kweli. If have not clean your house, you better do it right now. If your house is clean, they won't bother coming to you.
 
Mr. Macos you deserve the label a political somnambulist. Your analysis of Al Jazeera is fraught with simplistic assertions that hold no water. In this era of technological revolution, with its resultant advancements in media and communication, such views as yours are both jagged and outdated. The search for truth is an irreversible trait in the history of mankind. Instead of expressing your paranoia you should be wishing the new Al Jazeera Kiswahili channel welcome!

I Still doubted their intention from the facts that they have have destroy Libya....what we are witnessing is new SOMALIA and AFGHANISTAN, mountains of lies that Gadhafi warplanes are bombing civilians ( by order of Gaddafi himself according to Al Jazeera )in Tripoli and Benghazi were all fabricated , they have created a picture that massacre is being committed by Gaddafi army all were lies ..the truth is that Gangs of unlawful have taken army Barrack in Benghazi destroy government properties and killing pro goverment supporters !1 all in all their lies prompted the imperialist NATO using UN to invade and Bomb Libya non stop from March till now more than 25000 cruise missiles 25000 against . Till now this Channel continue to tell lies by giving misinformation.

Im not afraid of free media or reporting what i am afraid if media is irresponsible and ....Just imagine if a Al jazeera TV reported non stop lies that Kikwete ordered to bomb Chadema stronghold in Moshi and Mwanza and armay are killing peacefull demostrators then because of this the country imposed No fly zone and eonomic blockade and then Dar is bombed to punish Kikwete ......this is my fear .....
 
the last i checked....

george w bush said aljazeera was the mouthpiece of terror........

how things have changed so far..........?????????
 
....Just imagine if a Al jazeera TV reported non stop lies that Kikwete ordered to bomb Chadema stronghold in Moshi and Mwanza and armay are killing peacefull demostrators then because of this the country imposed No fly zone and eonomic blockade and then Dar is bombed to punish Kikwete ......this is my fear .....
Duhu, hapo Mkuu nimenyanyua mikono. Wacha wengine waendelee kuchangia hii mada. Domino!
 
Back
Top Bottom