Al-Haramain Islamic Teachers' College ni uozo mtupu

Al-Haramain Islamic Teachers' College ni uozo mtupu

hiki chuo uongoz wake n udikteta mtupu
principle n majanga tu hasikilizi ushauri wa mtu yeyote c walmu wake
serikari ya wanafunz wa chuo hawackilizwi
uksema unatishiwa kufukuzwa chuo,
wakufunzi wanaacha kaz kutokana udikteta wa principle naye hajal
jaman tumechoka kunyanyaswa ilhal tunalipa ada
Jina lako linatia wasiwasi, uandishi wako unamakosa mengi ya kisarufi. Uwasilishaji wako wa mada haufai. Maana umekuja na hitimisho kutoka gizani. Always try to present facts and never present conclusion or judgement.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom