P Patrick Elias JF-Expert Member Joined Jan 27, 2011 Posts 332 Reaction score 108 May 29, 2014 #1 Ni yule aliyemundosha madaraka na kumtia jela Mohamed Morsi.
P Patrick Elias JF-Expert Member Joined Jan 27, 2011 Posts 332 Reaction score 108 May 29, 2014 Thread starter #2 Ameshinda kwa 93%
M Mp Kalix2 JF-Expert Member Joined Oct 4, 2010 Posts 5,939 Reaction score 3,048 May 29, 2014 #3 Patrick Elias said: Ni yule aliyemundosha madaraka na kumtia jela mohamed morsi Click to expand... Huku kwetu Bongo kama ajitokeza kama hoyo akawatia ndani Mafisadi wote hutaamini macho yako chereko chereko zitaka kuwapo huku mitaani . We waache hawa akina W.Lukivi na habari za jeshi kupindua Serikali waendele na mizaha yao! Watajitokeza wana Jeshi wenye uchungu na Nchi hii na kuifanya kazi hiyo na si kwa hoja nyepesi kama hizi za akina Lukuvi!
Patrick Elias said: Ni yule aliyemundosha madaraka na kumtia jela mohamed morsi Click to expand... Huku kwetu Bongo kama ajitokeza kama hoyo akawatia ndani Mafisadi wote hutaamini macho yako chereko chereko zitaka kuwapo huku mitaani . We waache hawa akina W.Lukivi na habari za jeshi kupindua Serikali waendele na mizaha yao! Watajitokeza wana Jeshi wenye uchungu na Nchi hii na kuifanya kazi hiyo na si kwa hoja nyepesi kama hizi za akina Lukuvi!