Al Ahly SC vs Young Africans, Mar 09, 2014 – Live Stream

Wenye updates za Yanga please tujuzeni

kipa wa yanga amepewa kadi ya njano kwa kuchelewesha kupiga mpira. Ngasa nae anaenda kuitibiwa nje ya uwanja. Chuji anaingia bao bilabila
 
Kweli mazee cc wengine tupo vijijini hatuoni azam n i wish to know the results
 
kuna tukio limetokea uwanjani sijui ilikua muda gani lakini wamefanya replay ameoneka kipa wa yanga amefukia kitu gorini kwake baadae akaonekana mchezaji wa ely ahaly akikitafuta kitu hicho. Inawezekana walikipata ndo goli likaingia
 
Kaka kweli?
 
Mabomu ya machozi nasikia yanapigwa nje ya uwanja kuwatawanya mashabiki
 
Ahli fungaliambali hizi timu ndogondogo waondokeke na uchafu wao!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…