Al Ahly SC vs Young Africans, Mar 09, 2014 – Live Stream

Mwarabu leo anakaushwa kwao na hawata amini.
Fidyee leo jiaandae na magunia saba ya magoli..... alafu Yanga watarudi nyumbani mmoja mmoja !!
Al-Ahly watacheza na macho yao yamefunikwa kitambaa wasione na watashinda vibayaaaa!
 
Dawa yenu LIBOLO
 
Mtoa mada utakuwa UMEVURUGWA kama alivyovurugwa @snura si bure.
 
Itachezwa saa mbili usiku kwa saa za afrika mashariki, kuhusu kuonyeshwa hapo naomba wadau wanaojua hhili watujuze
 
Wana jf naomba kama kuna mtu anafahamu kuna channel ambayo inaweza onesha gemu ya yanga,na muda kwa ujumla,mana in jf kuna watu wanaofuatilia mambo kulivyo tunavyofahamu wengine,kuna watu wana decoder za qsat,azksky decorders
 
CCTV............................................................. au Cartoon Tv hapo Piga ua Lazima Uione Yanga. Utanipa Matokeo!!!
 
Nimeambiwa mpira unachezwa saa mbili usiku kwa saa za hapa nyumbani.
Naomba kujua kama utarushwa live na TV station gani???

Wazee wa AZAM mpo??

CCTV na Cartoon Tv...........!!!!!!!!!!!!!! Utanipa Matokeo Ya Huko Misri Mkuu.
 
hao wajinga yanga wanatandikwa tatu beseni..
 
kabisa na tutabanana hapahapa...
 
Nimeambiwa mpira unachezwa saa mbili usiku kwa saa za hapa nyumbani.
Naomba kujua kama utarushwa live na TV station gani???

Wazee wa AZAM mpo??

nilesports.com Live Al Ahly vs Young Africans | CAF Champions League 2014

Nile Sports Live TV | Egyptian Television online | Live from Cairo

[TABLE="class: infoTable"]
[TR]
[TD="class: infoName, align: right"]Kick Off:[/TD]
[TD="class: infoValue, align: left"]17:00 GMT (SAA 2 USIKU KWA SAA ZA TZ)

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Wakuuu hiv hakuna yoyote mwenye yupo uwanjan wakutuleyea yanayojir katika uwanja kat ya mech ya simba na prisons?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…