Taarifa zinasema kwamba yule jamaa aliyejitambulisha kuwa ndiye Brigedia Jenerali Sulaiman Al Adawi, Mmiliki wa Dowans anatajwa kutembelea mitambo ya Dowans Ubungo....
Kazi kwenu waandishi makini na wapiga picha, naambiwa hapo atakaa kwa mapozi apigwe picha vizuri ili apate publicity kama kiongozi wa nchi..... duh Watanzania ni kiboko
Kama kweli tungekuwa na waandishi makini mbona picha zake zingekuwa zimetapakaa kwenye magazeti!
Kwanza kitendo cha kuwaita waandishi na kusema hasipigwe picha na kweli wakashindwa kupata picha yake ni aibu kwa waandishi!
Jilipue mkuu tuko pamoja nawei hope rostam,ngeleja na yule bosi wa tanesco watakuwa pembeni yake,..najiandaa kujilipua nao wadau,..wote hao watatu siwafagilii lao moja kwenye ujambazi huu wa dowans,..sitanii watch the news,..
i hope rostam,ngeleja na yule bosi wa tanesco watakuwa pembeni yake,..najiandaa kujilipua nao wadau,..wote hao watatu siwafagilii lao moja kwenye ujambazi huu wa dowans,..sitanii watch the news,..