Funguka yalokuwa moyoni mwako siku zooote, ndio picha ninayoiweka hapa..Kwa sasa nikiona Mzenji anatetea muungano namuelewa, maana wao wanafaidi pesa na raslimali za Tanganyika, nk. Hata waziri wa fedha wameweka Mzenji mwenzao kabisa.
Ila kwa Mtanganyika kutetea huo muungano, duh. Laana ya uchawa is real
Sasa wee sijui Mkurya utakiweza kiswahili cha pwani?Mkuu umekurupuka hebu rudia kusoma ulichokiandika, usiwe unaandika uzi ukiwa umelewa.
Siyo ya moyoni mkuu, tunaongelea uhalisia. Nchi ya Tanganyika/shamba la Bibi inapukutishwa waziwazi na haina mtetezi...Funguka yalokuwa moyoni mwako siku zooote, ndio picha ninayoiweka hapa..
Kama watu hawautambui Muungano mnaunda Serikali za nini?Serikali tatu ni ngumu,maana hapo rais wa Tanzania atamezwa na rais wa Tanganyika,hapo ili muungano unoge zaidi lazima serikali moja iwe,ila kwa ninavyowafahamu wazenji, sdhani kama watakubali serikali ya mapinduzi ya z'bar ibomolewe.
Nia ni kurekebisha kasoro nyingi zilizopo. Au mnataka kasoro na kero lukuki ziendelee kutamalaki??Kama watu hawautambui Muungano mnaunda Serikali za nini?
Sasa mkuu wangu ugumu wa hesabu uko wapi? Bajeti ni makadirio ya matumizi kwa mwaka. Hata sisi tunakadiria tril. 31 tuaipozipata kwankodi zetu tunaomba nchi za nje!Siyo ya moyoni mkuu, tunaongelea uhalisia. Nchi ya Tanganyika/shamba la Bibi inapukutishwa waziwazi na haina mtetezi...
Bajeti ya Tanzania (Raia 65M) ni Trilion 31, ya Zanzibar ni 8.5Trilion (Raia 1.3M) wakati huo huo wa Zanzibar wanahesabika tena kwenye Tanzania | JamiiForums Tanzania Bajeti ya Tanzania (Raia 65M) ni Trilion 31, ya Zanzibar ni 8.5Trilion (Raia 1.3M) wakati huo huo wa Zanzibar wanahesabika tena kwenye Tanzania
So what? Ni Watanzania au kumbe sio na Muungano haupo? Kosa lingekuwa waajiriwa hawana sifa za kuongoza ama kushika madaraka hayo kwa upendeleo.Nia ni kurekebisha kasoro nyingi zilizopo. Au mnataka kasoro na kero lukuki ziendelee kutamalaki??
(4) Tetesi: - Inadaiwa 69% ya wakurugenzi wa wilaya bara ni kutoka Zanzibar | JamiiForums Tanzania Tetesi: - Inadaiwa 69% ya wakurugenzi wa wilaya bara ni kutoka Zanzibar
So what? Ni Watanzania au kumbe sio na Muungano haupo? Kosa lingekuwa waajiriwa hawana sifa za kuongoza ama kushika madaraka hayo kwa upendeleo.
Kumbuka wakati wa Magufuli mlidai Viongozi wengi walopewa nafasi wanatoka Kanda ya Ziwa mkawapachika jina 'Sukuma gang' Au mmeshasahau?
Wenye tatizo na Ubaguzi ni nyie mnaotazama watu kwa dini, kabila au Ukanda sababu zenu zikidhi tafsiri ya Upendeleo. Na sisemi Wabara ni nyote baina yenu Watanganyika na Wazanzibar.
kama muungano upo licha ya kelele za watu,bado ipo nafasi ya kuufanyia reforms kwenye muundo wake ili ukidhi matakwa ya wananchi. Kuliko hii ya kukazia fuvu muundo wa muungano wa nyerere uliopiwa na wakati.Kama watu hawautambui Muungano mnaunda Serikali za nini?