Akupige full sasa!

Akupige full sasa!

Hairuhusiwi kukanyaga ardhi ya Tanzania hiyo.
Unamjuaa Mpinga au unamsikiagasikiaga tu., sio mtu wa sport sport.Oohoo,ajali lazima ziishe!!!
Hana lolote huyo mbwembwe tu
 
Hana lolote huyo mbwembwe tu
Ssssssshhhhhhhhhhiiiiiiiiii!!!
images-998.jpeg
angalia wasikusikie utaitwa mchochezi sasa hivi,wanasema kazi ni moja tu kusifia kila mtu na kila kitu,wafanyacho na watamkacho.
 
Huenda dereva ana ulemavu wa macho (kipofu)... kwa taa hizo hata kipofu ataona tuu!...
 
Back
Top Bottom