Akupige full sasa!

Akupige full sasa!

ZENITH

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
1,057
Reaction score
973
1484936786094.jpg
 
Hairuhusiwi kukanyaga ardhi ya Tanzania hiyo.
Unamjuaa Mpinga au unamsikiagasikiaga tu., sio mtu wa sport sport.Oohoo,ajali lazima ziishe!!!
 
Yaani hapo mtaroni panakuhusu ukute na wewe umejitungua speed 120 lazima uwasalimie
 
Ubunifu tu mbona hilo gari linaweza kutumika kutoa mwanga uwanjani na watu wakapiga mpira hata saa nane za usiku
 
Back
Top Bottom