Babu Kijana
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 589
- 278
Habari, mie ni mfanyakazi wa private company, nataka kufungua akaunti ya dola CRDB. Naweza kujua ni masharti gani na viambatanisho vipi niwe navyo niweze kufungua akaunti hiyo bila zengwe.
Kwa yeyote mwenyekuua anijuze, na je kunusumbufu wowote kwa akaunti CRDB? Au kuna beki nyingine isiyo na usumbuf na ynye mashari nafuu?
Ahsanteni.
Kwa yeyote mwenyekuua anijuze, na je kunusumbufu wowote kwa akaunti CRDB? Au kuna beki nyingine isiyo na usumbuf na ynye mashari nafuu?
Ahsanteni.