Akonga nyoyo na dada mtu na Kuoa mdogo wake

Aisee, mambo ni vipi hapa jukwaani,
Jamaa yetu mmoja amefanya maajabu kidogo kwa kitendo chake cha kuwa na mahusiano na dada mmoja wa miaka 29 kwa muda wa miaka mitatu.
Muda wooote Wakati Wapo Kwenye mahusiano Yule dada hakuwahi kusema Kama ana mdogo wake toka Nitoke(mambo ya mjini hayo).
Kadri muda ulivyokuwa Unazidi kutaradadi Yule mdogo mtu alimaliza masomo na kurejea home, Ila kumbuka nduguze na Yule msichana mpaka mama alikua anamjua jamaa Kama anamkula mwanawe.
Baada ya msomi kurejea, jamaa Ndo akamuona! Akapagawa na toto zuuuri la kidogo limenona'macho ya kulala! Na kile kiswahili cha kidigo aaaaaa! Mshkaji akawa full kupenda.
Kwa kuwa mshkaji muda wa Kuoa ukifika kwa majibu wa maelezo yake ikabidi atume wapambe au washenga, na mimi maandishi ni; mmojawapo, tulikua wawil
Tukaacha documents (barua ya uchumba).
Siku tulioenda Chukua majibu sasa, binti kaitwa Mbele yetu kaulizwa kasema Poa mjibuni nimemkubali.
Huku uani sasa kinamama, kumwambia baba Kama jamaa alikua anamkula dada yake hawawezi kwa kuwa mdingi ni mkali Halafu ni mzee anaevaa sare za mabaka mabaka akiwa na visoda viwili mabegani.
Siku ya harusi ukifika tukaenda tukaoa basi mchezo umeishia Hapo.
Ila inasemekana mtu na dada yake waliochangia dushe au duduz hawaongei mpaka sasa ni mwezi wa nne.
Ila mdogo mtu kaumbika hata Mimi nisingemuacha kwa Kweli.
Haya wenye mapovu ruhusa. Binafsi sioni ubaya wowote mtu anaoa Yule amtakae.
C.c.jambazi,ambiele
Kimnana, miss natafuta.
We unashangaa hii kitu wakati 2008 kuna jamaa yangu mmoja alikuwa anasoma DUCE alikula kuanzia mama,mtoto hadi beki tatu,Chang'ombe hiyo wacha mchezo:D:D:D
 
Sishangai hilo!.. Huwa napenda kula marafiki wa wasichana wangu zaidi ya wanawake wa barabarani!. Najua ni ugonjwa na kinachonitisha wa sasa namlia friends zake but namuogopa akijua itakuaje!.
 
Hata mimi niliwahi konga nyoyo na best friend wa demu wangu,kipindi hicho mimi nasoma umbwe moshi,dem wangu machame girls niliyemkula ashira girls.wa moshi wanajua hivi viwanja.
 
Back
Top Bottom