Akiwa waziri mkuu saruji ilipanda bei kutoka Tshs 9300/= hadi Tshs 26,000/=

Ndiyo, ilibidi tuache wake bariadi tuswage ng'ombe kwenda lindi na mtwara.
Sasa yeye anahusika vipi hapo? Mbona hayo ni mambo ya kawaida kwa wafugaji?
Huna hoja wewe.
 
Jiulize ni kwanini katika ujenzi wa barabara wa lami, kwa km moja kwa tanzania ni ghali kuliko sehemu nyingi barani AFRICA!! hilo tingatinga lako liko wapi,? na hizo barabara hata muda haupit zote ni mashimo tu. Ndio uje huku kwa EL

Na kila kaupana kanapunguzwa mita moja jiulize hela zinaenda wapi chukueni kamfano tu ile mifereji ya pale ubungo ya kupitishia maji taka ilivyo kaa wazi hiyo haipo dunia nzima hapo ndio wanakopigia hela , zile nyumba walizouziana kwa bei ya mchicha.
 
Una wasiwasi na ENL? Mpigie debe mgombea wako makufuri au mshakata tamaa ya kuingia Ikulu?
 
Dada yangu ungejenga hoja ingekuwa bora zaidi kuliko mipasho...
Kwani mtoa mada ana hoja gani zaidi ya hekaya na majungu?
Ndio maana nimezidi kumpa uwanja aendeleze majungu yake maana hakuna kitakachobadilisha kua Lowassa ndiye Rais ajaye.
 
Kwani mtoa mada ana hoja gani zaidi ya hekaya na majungu?
Ndio maana nimezidi kumpa uwanja aendeleze majungu yake maana hakuna kitakachobadikisha kua Lowassa ndiye Rais ajaye.

Huenda ukawa sahihi, lakini bado nguvu ya hoja inahitajika. Maana kama mnafanya mipasho, then mtashindwa kufanya ushawishi wa kile mnachokiamini
 
Kwa kweli tukikumbuka adha za Lowassa alivyokuwa waziri mkuu hatuna hamu, wananchi wa Sengerema walimuuliza iweje saruji ipande bei kutoka shs 9300 hadi shs 26,000 ndani ya mwaka mmoja?

Hakujibu swali badala yake alianza kutukana na kusema vijana mnakalia maneno ya vijiweni badala ya kufanya kazi. Hapo akiwa waziri mkuu sasa akiwa Rais si ndo ataamurisha tuswekwe ndani kabisa.

Ikumbukwe mtoto mdogo aliswekwa ndani kule ukerewe kisa kamuuliza swali kwenye mkutano wa hadhara.

Okay okay,

Naomba utukumbushe ilikuwa chini ya utawala wa chama gani tafadhali?
 
Huenda ukawa sahihi, lakini bado nguvu ya hoja inahitajika. Maana kama mnafanya mipasho, then mtashindwa kufanya ushawishi wa kile mnachokiamini
Ninachokiamini mimi ni Lowassa ndiye Rais wetu ajaye.....Hili halina ubishi.
Sasa huyo mtoa mada muache apoteze wakati wake kwa majungu yake.
 
eddy

Hapo kasema kweli, badala ya vijana kufanya kazi...mnakaa vijiweni, hata ashuke malaika bado utalalamika tu.

Nauliza tu, hivi zile fedha zilizochukuliwa kwa sandarus na rumbesa el naye alipata mgao?
 
Last edited by a moderator:
hebu tujuze pia kikwete alipoingia ikulu cement ilikuwa bei gani
 
Back
Top Bottom