Akiwa mbali nammiss, akiwa karibu nakosa hamu nae ya tendo la ndoa

Shmy

Senior Member
Aug 3, 2012
148
55
Nikiwa mbali na mpenzi wangu namiss sana ila nikimuona tu nakosa hamu ya tendo la ndoa. Anajaribu kuniandaa lakini wapi japo nampenda sana nawala sina uhusiano na mtu mwingine. Sio kwamba naogopa mimba ila sijielewi nifanyeje.
 
Jitahidini kuwa mnatumia muda japo mchache kuwa pamoja,ikiwezekana badilisheni hata mazingira,mnaweza hata kutoka usiku mmoja mkalala hotelini kama hela yenu haijashikana na ngozi lakin.
 
Umri bado huo...We tulia homons ndo zinatengenezwa mwilini kwako kwa hivi sasa. we siku ukisikia kama siafu wanatembea mwilini ujue ushakua sasa.....Chap nenda kwa mpenzi
Umri ni zaidi ya 28
 
Back
Top Bottom