Ukweli mtupu.Zamani kabisa JF walikuwa na utaratibu wa kutoa ama Top 10 au Top 20 (sikumbuki vizuri) ya wale walioanzisha threads nyingi zaidi kwa kila mwezi! Kuna baadhi ya watu tangia wazaliwe hawajawahi kuwa top kwenye maeneo yao kwahiyo hiyo ikawa ndo fursa kwao ya "kuonja" kuwa Top! Wimbi la threads zisizo na kichwa wala miguu likashika kasi!
Utaratibu wa monthly Top 10/20 na watu tukadhani huo utakuwa ndo mwisho wa threads za hovyo hovyo! Kwa bahati mbaya sana haikuwa na bado haijawa hivyo na hapo ndipo ilipobainika kwamba kumbe mambo mengine ni hulka!
Kama kuna tuzo za kuisakama Chadema basi @Barbadosa anayo! Cha ajabu ccm haimjui kabisa.Zamani kabisa JF walikuwa na utaratibu wa kutoa ama Top 10 au Top 20 (sikumbuki vizuri) ya wale walioanzisha threads nyingi zaidi kwa kila mwezi! Kuna baadhi ya watu tangia wazaliwe hawajawahi kuwa top kwenye maeneo yao kwahiyo hiyo ikawa ndo fursa kwao ya "kuonja" kuwa Top! Wimbi la threads zisizo na kichwa wala miguu likashika kasi!
Utaratibu wa monthly Top 10/20 na watu tukadhani huo utakuwa ndo mwisho wa threads za hovyo hovyo! Kwa bahati mbaya sana haikuwa na bado haijawa hivyo na hapo ndipo ilipobainika kwamba kumbe mambo mengine ni hulka!
Sawa mange...Hapo Mume wake chadema anakunywa pombe au anachati na JF kumtetea fisadi lowasa halafu akirudi nyumbani anauliza chakula na maji ya kuoga bafuni tena ya moto, kikichelewa, kipondo cha mbwa mwizi anapewa Mwanamke wa watu!
![]()
Acha aisome namba buku7 hakunaKama kuna tuzo za kuisakama Chadema basi @Barbadosa anayo! Cha ajabu ccm haimjui kabisa.
Lucky Dube
"God Bless The Women"
In the middle of the night I heard her pray so bitterly
And so softly yeah...
She prayed for her children
She prayed for their education,
Then she prayed for the man
That left her with her children.
We, praise heroes everyday
But there are those that we forget To praise
The women of this world.
They don't run from anything
They stand and fight for what's right
[Chorus:]
Oh oh oh...
God bless the women
Even when times are so hard
They are so cool, calm and collected.
They don't run from anything,
They stand and fight
For what is right
They do not run from responsibilities
They stand and fight for what Is right
[Chorus: till fade]
Sio wanawake wakileoLucky Dube
"God Bless The Women"
In the middle of the night I heard her pray so bitterly
And so softly yeah...
She prayed for her children
She prayed for their education,
Then she prayed for the man
That left her with her children.
We, praise heroes everyday
But there are those that we forget To praise
The women of this world.
They don't run from anything
They stand and fight for what's right
[Chorus:]
Oh oh oh...
God bless the women
Even when times are so hard
They are so cool, calm and collected.
They don't run from anything,
They stand and fight
For what is right
They do not run from responsibilities
They stand and fight for what Is right
[Chorus: till fade]
Alafu jamaa anaishiA kuwa msafisha choo lumumbaaaKama kuna tuzo za kuisakama Chadema basi @Barbadosa anayo! Cha ajabu ccm haimjui kabisa.
Sio wanawake wakileo
We endelea kubwabwaja tu wakati wenye chama wanagawana mgao was 10MHapo Mume wake chadema anakunywa pombe au anachati na JF kumtetea fisadi lowasa halafu akirudi nyumbani anauliza chakula na maji ya kuoga bafuni tena ya moto, kikichelewa, kipondo cha mbwa mwizi anapewa Mwanamke wa watu!
![]()