Akiri shtaka la wizi wa picha za utupu

sinafungu

JF-Expert Member
Feb 13, 2010
1,527
865
Mtu aliyeshtakiwa kwa wizi wa picha za utupu wa watu maarufu amekiri mashtaka yanayomkabili.


Ryan Collins mwenye umri wa miaka 36 na baba kutoka eneo la Pennsylvania ,amekiri kuiba picha hizo miaka miwli iliopita.

Alitumia mbinu ya kuhadaa na kupata nywila za watu hao kabla ya kuingia katika akaunti zao za icloud na Gmail.
 
Hii habari mbona sio top story na HAIKUWA na ulazima wa kuileta huku.. Unajaza server kwa habari za kawaida kabisa tena kutoka nje ya bara.. Unakwama brother
 
Back
Top Bottom