Akipiga tu simu naharibikiwa

Akipiga tu simu naharibikiwa

FLASH HIDER

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2012
Posts
397
Reaction score
508
Ndugu zangu, mimi nilioa mwaka 2010 na nina mtoto mmoja. Mwezi wa nne mwaka huu mke amepata nafasi ya kujiendeleza kimasomo huko London. Anategemea kumaliza mafunzo baada ya mwaka moja kama na nusu hivi ambpo atakuwa na likizo mwezi wa tisa mwaka huu. Tatizo nililonalo ni kuwa kila akipiga simu nikimsikia sauti yake, ukweli nachanganyikiwa na kuhisi nipo nae. Kibaya zaidi sehemu zangu za nanihii husimama na kama nipo ofisini ni aibu tupu. Kama nipo nyumbani nimelala, wakati mwingine hujikuta natokwa na ule uteute wetu na kuchafua suluali au bukta.

Nijuzeni, huu ni ugonjwa nikatibiwe?
 
Nimerudia kusoma weeeeeeeeeeeeeeeee , nataka nijue una umri gani? Maana swali lako sidhani kama mtu wa over 20 years atauliza!!!!!!! Dah, yaani hujaweza hata kupata elimu ya mahusiano kati ya wawili wapendanao? Hujawahi hata kusikia inatokea kitu gani kama mwanaume au mwanamke alyepevuka kukaa muda mrefu bila sex? Hujawahi hata kujua kama mke au mume wako hamhakutana muda mrefu siku mtakayokutana ni lazima utagundua kama kulikuwa na kawizi au la? Yaani wewe nitafute nikupe somo. Pole sana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Huna ugonjwa wowote ndio urijali huo...inatokea kwasababu hujado siku nyingi bila shaka umemiss mkeo....hongera kwa kuwa muaminifu kwa mkeo..
 
Hongera, yeye umemwuliza anajisikiaje? Hauhisi unaibiwa?
 
Chezeya kupenda weye!!!! Sauti tu inamtoa nyoka pangoni kabla hata ya kuguswa.

Last edited by a moderator:

Ndo raha ya kuoa/ olewa na anaekupenda kweli .
Hujambo Mr DJ... Lol
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Niko poa kabisa namshukuru Muumba wetu. Nawe ukoje? Hujarusha lile dege kubwa leo 🙂🙂...Ni BAK pilot hilo la DJ achana nalo banaaa 🙂🙂

Ndo raha ya kuoa/ olewa na anaekupenda kweli .
Hujambo Mr DJ... Lol
 
Niko poa kabisa namshukuru Muumba wetu. Nawe ukoje? Hujarusha lile dege kubwa leo 🙂🙂...Ni BAK pilot hilo la DJ achana nalo banaaa 🙂🙂

Hahahaha
Nakungoja wewe ufike tuchangamke wote lol
Ahhhh naona una majina kabambe siku hizi
Jinsi unavyo mix mambo humu ndani "DJ"
Bado uko in control na ndege " captain. "
Mi na kuvilia kofia .... Lol -🙂
 
  • Thanks
Reactions: BAK
::
Hisia za upendo wako kwa mkeo ni za hali ya juu sana,,
Mwanasaikolojia David Myers anasema kuwa "you become what you think".
Sina hakika kama antibiotics zitakusaidia ila tu kama hali yako inakufedhehesha jaribu kuwa na high control of love emotions.
Ila hiyo ni dalili njema ya upendo.
=
 
Ndugu zangu, mimi nilioa mwaka 2010 na nina mtoto mmoja. Mwezi wa nne mwaka huu mke amepata nafasi ya kujiendeleza kimasomo huko London. Anategemea kumaliza mafunzo baada ya mwaka moja kama na nusu hivi ambpo atakuwa na likizo mwezi wa tisa mwaka huu. Tatizo nililonalo ni kuwa kila akipiga simu nikimsikia sauti yake, ukweli nachanganyikiwa na kuhisi nipo nae. Kibaya zaidi sehemu zangu za nanihii husimama na kama nipo ofisini ni aibu tupu. Kama nipo nyumbani nimelala, wakati mwingine hujikuta natokwa na ule uteute wetu na kuchafua suluali au bukta.

Nijuzeni, huu ni ugonjwa nikatibiwe?

ayaaaaa! ndugu yangu kuwa mwangalifu sana that is a bad news! kama sii upuuzi wa waingereza kuringa na visa zao utadhani mtu anaenda mbinguni ningekushauri upige surprise visit huko london unaweza kuta popoz wanananiliii! maana dada zetu kwa popoz... in short jiandae kwa lolote maana anaweza akarudi na uja uzito au muda wa shule ukaisha akakwambia anarudia mwaka or blah blah nyingine! mwenzio yaliisha nikuta so prepare for worst!
 
unaugonjwa wa kusimamisha wewe, tumia majani ya mwarobaini, yachemshe unywe tread zingine hazilipi
 
Nimerudia kusoma weeeeeeeeeeeeeeeee , nataka nijue una umri gani? Maana swali lako sidhani kama mtu wa over 20 years atauliza!!!!!!! Dah, yaani hujaweza hata kupata elimu ya mahusiano kati ya wawili wapendanao? Hujawahi hata kusikia inatokea kitu gani kama mwanaume au mwanamke alyepevuka kukaa muda mrefu bila sex? Hujawahi hata kujua kama mke au mume wako hamhakutana muda mrefu siku mtakayokutana ni lazima utagundua kama kulikuwa na kawizi au la? Yaani wewe nitafute nikupe somo. Pole sana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ndiyo maana serikali inaliingiza somo la biolojia kwenye masomo ya lazima lakini bado kuna watu wakiwa masomoni wanalikimbia. Matokeo yake ndiyo haya kuja kuaibika ukubwani mbele za watu.
 
Mkuu kwa vijana wa mtaani wanaita Kipururu au ukame km dodoma kulivyo....mkuu siku mke wako akija haki ya nani tena ukitoa ba.o unajaza Kikombe.
 
Back
Top Bottom