Akipiga tu simu naharibikiwa

Akipiga tu simu naharibikiwa

Nimerudia kusoma weeeeeeeeeeeeeeeee , nataka nijue una umri gani? Maana swali lako sidhani kama mtu wa over 20 years atauliza!!!!!!! Dah, yaani hujaweza hata kupata elimu ya mahusiano kati ya wawili wapendanao? Hujawahi hata kusikia inatokea kitu gani kama mwanaume au mwanamke alyepevuka kukaa muda mrefu bila sex? Hujawahi hata kujua kama mke au mume wako hamhakutana muda mrefu siku mtakayokutana ni lazima utagundua kama kulikuwa na kawizi au la? Yaani wewe nitafute nikupe somo. Pole sana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Ungemuuliza facebook kaondoka lini pia?
 
unampenda sana mkeo keep it up mtu ambae unampenda toka moyoni lazima unakuwa na hisia nae dats why hata ukisikia sauti tu unajikuta mambo tayri keep it up sanaaaa na endelea kuwa mwaminifu
 
Hongera kama unapatwa na hiyo hali akipiga mkeo kwa wenzio ni tofauti small house wakipiga ndio inawatokea hivo

Tiba utaipata akirudi kwa sasa endelea tu kuchafuka

Hahahahahaa:smile-big:Shuka inakuwa kama ATLAS...Kitabu cha ramani:smile-big:
 
kama akipiga simu mambo inakuwa mbaya, basi wewe ndo uwe unampigia.
 
Kuna watu nafikiri huwaga wanaanzisha thread just bcoz anataka na yeye a-post tu kitu! smtime huwa najiuliza may b watu siku hiz wanaoa wakiwa na miaka 7 labda!
 
Ndugu zangu, mimi nilioa mwaka 2010 na nina mtoto mmoja. Mwezi wa nne mwaka huu mke amepata nafasi ya kujiendeleza kimasomo huko London. Anategemea kumaliza mafunzo baada ya mwaka moja kama na nusu hivi ambpo atakuwa na likizo mwezi wa tisa mwaka huu. Tatizo nililonalo ni kuwa kila akipiga simu nikimsikia sauti yake, ukweli nachanganyikiwa na kuhisi nipo nae. Kibaya zaidi sehemu zangu za nanihii husimama na kama nipo ofisini ni aibu tupu. Kama nipo nyumbani nimelala, wakati mwingine hujikuta natokwa na ule uteute wetu na kuchafua suluali au bukta.

Nijuzeni, huu ni ugonjwa nikatibiwe?

Dah! Huo si uzima, tafuta wahaya usijeukabaka embuji na nguku!
 
Lakini ni kweli kwamba kama unampenda sana mke wako, basi uki mmiss kwa muda mrefu basi akipiga simu ukisikia tu sauti yake ni nini hii inasimama? Ningependa kujua wameishi pamoja kwa muda gani, pia kama wanawatoto. Hao naona waliishi pamoja miezi tu kabla huyo mwenzake hajaenda huko london, kwa hiyo bado anahamu naye, na si kwamba anampenda sana.
 
Ni dalili ya kumpenda mkeo hongera inaonesha ndoa yenu ipo imara.Mwanamke ambaye hukupagawisha mnapokuwa sita kwa sita ni kawaida kusikia hali hiyo anapokupigia simu.
 
Back
Top Bottom