[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi sikuelewi jaribu kunielewesha nikuelewe wewe ni fungu la zao gani?
Hapa nisehemu ya kula raha na kama ukipata wa kutulia naye akakuridhia basi utatulia ila sio sana kwa maana hata nyie hamjatulia nilikuwa na mpenzi wangu humu tunapendana ila kila wakati ananiuliza jina lako ninani?
Siunaona mnawengi hadi hamuwajui majina.
Ewalaaaa!Kadanga kamoja ni matumizi mabaya ya rasilimali watu..... ukikaomba laki kuipata hadi mwaka mpya wa fedha ila madanga 10 laki kama umeomba buku msg 1 tu Sweet naomba elf 10 hapo unawafowadia wote ni ma xywz yanathibitishwa.
wazee mama mmoja ni baba tu
Vigezo na masharti kuzingatiwa.Ok, niongeze kwenye list chap
Only one kivipi tena only one ni alienizaa tuAfadhali wewe unajisemea ukweli maana wengine wajidai you are the only one in this world kumbe urongo mpo zaidi ya 10
Nilikusifia maana unasema ukweli ila wengine wanatufichaOnly one kivipi tena only one ni alienizaa tu
Wa huko ndo wamo humuNilijifanya kutafuta GT maana mitaani kwetu hawajastarabika na wameishia Darasa la nne
Hawawanchi ndio nini?Kila wakati nasema tuache kutumia pointi moja kuchora graph. Wewe ulimpata huyo chovyachovya ukadhani wote ni sawa! Nakuhakikishia hapa JF wanaume wote isipokuwa 3 tu wakipata binti alotulia hawahanji ila nyie only God knows
Niliandika hawahanjiHawawanchi ndio nini?
kila kitu kimezingatiwa usiwazeVigezo na masharti kuzingatiwa.
ukiifungulia thread naomba unitagNipo tayari kuleta jedwali la binti na madanga yake na ikibidi na picha.
Nina imani kuanzia leo hii tabia itakoma.