SubiriNina amini na hii ni changamsha genge kwa sababu huwezi kuleta jina wala picha,sheria za JF hadhiruhusu.
Bado unaendelea kutafuta wa kuku..... leo nawaumbua mnatunyima raha tukiwa na vidume wenzetu bwanaHuna lolote wewe acha kulia lia tafuta pesa la sivyo utaishia kuandika nyuzi tu humu
Nasubiri.Subiri
Huna lolote kuwa mwanaume kwasababu bado upo katikati ila kama unaona wanawake wanafaidi sana kuwa mwanamkeBado unaendelea kutafuta wa kuku..... leo nawaumbua mnatunyima raha tukiwa na vidume wenzetu bwana
mkuu jina lako linachekesha sana,hivi ilikuwaje hadi ukatumia hili jinahii ni asubuhi news