Strawberry JF-Expert Member Joined Nov 29, 2012 Posts 274 Reaction score 108 Aug 5, 2013 #1 Huyu nae kala kichapo kwa wizi wa nguo za sikukuu.akina dada wa mjini tuache tabia za wizi na tamaa ya vitu tusivyoviweza.alafu eti mke wa mtu na watoto.Hicho kichapo kweli sidhani kama atarudia tena mwee Attachments wizi.JPG 58.3 KB · Views: 141 wizi@.JPG 52.7 KB · Views: 156
Huyu nae kala kichapo kwa wizi wa nguo za sikukuu.akina dada wa mjini tuache tabia za wizi na tamaa ya vitu tusivyoviweza.alafu eti mke wa mtu na watoto.Hicho kichapo kweli sidhani kama atarudia tena mwee
Tutor B JF-Expert Member Joined Jun 11, 2011 Posts 9,025 Reaction score 6,618 Aug 5, 2013 #2 Swadakta, kichapo kwa mwizi ndo halali yake kwani ukimfikisha polisi anakumbatiwa kwani polisi ni wezi pia.
Swadakta, kichapo kwa mwizi ndo halali yake kwani ukimfikisha polisi anakumbatiwa kwani polisi ni wezi pia.
mwekundu JF-Expert Member Joined Mar 4, 2013 Posts 22,475 Reaction score 21,046 Aug 5, 2013 #3 aisee aibu sana inawezekana alipewa hela na mume wake akataka kubana matumizi kama kawaida yao
M Mkempia JF-Expert Member Joined Mar 5, 2013 Posts 1,142 Reaction score 462 Aug 5, 2013 #5 Hapana huyo kwa maelezo yaliyopo anaonekana ni mwizi mzoefu tena anashirikiana na wenzake.
Tutor B JF-Expert Member Joined Jun 11, 2011 Posts 9,025 Reaction score 6,618 Aug 5, 2013 #6 ni wapi hapo?
Strawberry JF-Expert Member Joined Nov 29, 2012 Posts 274 Reaction score 108 Aug 5, 2013 Thread starter #7 Tutor B said: ni wapi hapo? Click to expand... Kariakoo hapo alienda kuiba madila na mwenzie wawili wakakimbia akakamatwa yeye. Akala kichapo safi sana.
Tutor B said: ni wapi hapo? Click to expand... Kariakoo hapo alienda kuiba madila na mwenzie wawili wakakimbia akakamatwa yeye. Akala kichapo safi sana.