Akina KAKA na salon za KIKE!!

Akina KAKA na salon za KIKE!!

Joined
Nov 11, 2008
Posts
782
Reaction score
43
Nemeona thread ya :Akina dada na salon za kiume!!
Je mnasemaje kuhusu akina KAKA kwenye SALON za KIKE? tena akina MAMA/DADA uzipenda sana SALO za aina hii, je kulikoni?????????
 
Mwanaume ukishinda sana na kina dada nao ni mtihani.Sijui wenzangu mnafikirije.Kwangu ni ngumu kidogo.
 
Mwanaume ukishinda sana na kina dada nao ni mtihani.Sijui wenzangu mnafikirije.Kwangu ni ngumu kidogo.

wale wale!
atori ya kwanza,ya pili..............ya tatu ANAOMBA GAME!lol
 
Back
Top Bottom