Akina dada wa JF nimkabidhi nani??

kaeso

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
548
Reaction score
97
Nimpe nani??
 

Attachments

  • moyo.jpg
    21.7 KB · Views: 335
mmmh....mi binafsi sitaki.....
 
Kwani lazima uwakabidhi akina dada wa JF tu? Jaribu na kwingineko waweza kupata mwenye nia ya dhati ya kukutunzia huo moyo wako.
 
Kwani lazima uwakabidhi akina dada wa JF tu? Jaribu na kwingineko waweza kupata mwenye nia ya dhati ya kukutunzia huo moyo wako.
Mimi naona wa hapa JF ndio wametulia.
 
Mimi naona wa hapa JF ndio wametulia.
Kama ni hivyo, kipimo chako unachotumia kupima utulivu kitakuwa kibovu na matokeo yake utaishia kulizwa kama wenzako tulivyowahi kulizwa. Juu yako!
 
Kama ni hivyo, kipimo chako unachotumia kupima utulivu kitakuwa kibovu na matokeo yake utaishia kulizwa kama wenzako tulivyowahi kulizwa. Juu yako!

Mkuu umewahi lizwa?
 
pole sana naona wameukataa, sasa nakushauri uurudishe unapotakiwa kuwapo.
 
Umkabidhi nani kwanini, umesikia kuna mtu hapa anahitaji heart transplant?
 
Mh. bora umkabidhi Mungu maisha yalivyo magumu huo moyo wako utapigwa bei fasta au unamaanisha kuweka rehani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…