Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,587
Wana JF,,sitaeleza kwa undani lakini hii ofisi hapa mjini Dar ina wadada wazuri na hatari sana kwa wanandoa!!
Akinadada ambao hamjaolewa maofisini hebu mtuonee huruma sisi waume za watu,,yaani pamoja na kuvaa pete hadharani, kumtaja na kumsifia mke wangu mbele zenu bado tu mnatutaka na kutuchokoza,,jamani muwaonee huruma wanawake wenzenu,,Yaani mmezidi sana kujishebedua kwa waume za watu ..balaa tukisafiri mikoniani kikazi,,,utatamani kulala hotel ya mbali,,,manake hachelewi kuja room kwako kavaa kimitego na kupiga story mpaka saa sita usiku,siku hiyo asipokuja room atataka mchati kwenye simu na kutumiana picha za ajabu ajabu.Kuna jamaa yangu hapa ofisini alimwazima mdada laki moja,,na alikuwa arudishiwe mwisho wa mwezi,,,miezi miwili sasa imepita,,badala ya kurudisha hela ya mme wa mtu anabaki kuleta zawadi za chocolate tu mezani kwa jamaa,,,plz wanadada mwanaume anapo vaa pete bila kificho na kuweka wazi kuwa anampenda mke wake that is a sign that u should stay away,,no sexual relationship .mtu unakuwa friendly lkn wadada wanatafisiri kuwa unataka sexual relationship,,saa zingine eti anasema wewe huna jeuri ya kunikataa mimi,,unanijunga tu.Nina jamaa yangu mwingine ye ndo kakubali yaishe tu,,,,,anakichapa kidada kimoja kimeajiriwa juzijuzi mpaka utadhani mke wake,,lunch pamoja,,usafiri mmoja,,kikazi wanasafiri wote.Yaani ni aibu na inakera sana,,,,,Plz mtuonee huruma akina dada, mioyo yetu sio ya chuma jamani.
Nimeamua kuwasemea wanaume wenzangu ambao tunapata shida hii.
View attachment 124041
Kaka hilo sio jaribu hata...
Tuseme nini sisi madaktari tunaoona nyuchi za wamama za kila aina....??? Tena si kuona tu bali tunazishikashika na kuzipekua kama tunafukua magimbi vile...
Sasa wewe unayeishia kuona juu ya nguo tu...ukipewa hii kazi si tutakupoteza
Mkuu u have no idea majaribu ya kina dada yakoje,,tena mdada mzuri atiii,,,,mshukuru Mungu yamekupitia mbali.
Wana JF,,sitaeleza kwa
undani lakini hii ofisi hapa mjini Dar ina wadada wazuri na hatari sana
kwa wanandoa!!
Akinadada ambao hamjaolewa maofisini hebu mtuonee huruma sisi waume za
watu,,yaani pamoja na kuvaa pete hadharani, kumtaja na kumsifia mke
wangu mbele zenu bado tu mnatutaka na kutuchokoza,,jamani muwaonee
huruma wanawake wenzenu,,Yaani mmezidi sana kujishebedua kwa waume za
watu ..balaa tukisafiri mikoniani kikazi,,,utatamani kulala hotel ya
mbali,,,manake hachelewi kuja room kwako kavaa kimitego na kupiga story
mpaka saa sita usiku,siku hiyo asipokuja room atataka mchati kwenye simu
na kutumiana picha za ajabu ajabu.Kuna jamaa yangu hapa ofisini
alimwazima mdada laki moja,,na alikuwa arudishiwe mwisho wa
mwezi,,,miezi miwili sasa imepita,,badala ya kurudisha hela ya mme wa
mtu anabaki kuleta zawadi za chocolate tu mezani kwa jamaa,,,plz
wanadada mwanaume anapo vaa pete bila kificho na kuweka wazi kuwa
anampenda mke wake that is a sign that u should stay away,,no sexual
relationship .mtu unakuwa friendly lkn wadada wanatafisiri kuwa unataka
sexual relationship,,saa zingine eti anasema wewe huna jeuri ya
kunikataa mimi,,unanijunga tu.Nina jamaa yangu mwingine ye ndo kakubali
yaishe tu,,,,,anakichapa kidada kimoja kimeajiriwa juzijuzi mpaka
utadhani mke wake,,lunch pamoja,,usafiri mmoja,,kikazi wanasafiri
wote.Yaani ni aibu na inakera sana,,,,,Plz mtuonee huruma akina dada,
mioyo yetu sio ya chuma jamani.
Nimeamua kuwasemea wanaume wenzangu ambao tunapata shida hii.
View attachment 124041
We mjamaa unasema tu kama vile ukimwona msichana half naked huhisi chochote ee?
Kwa sababu jamaa analalamikia vishawishi, tumeambiwa tuikimbie zinaaa. It is dangerous if it keeps coming at u. Ndo maana jamaa anajihami
:smile-big: ha ha haKaka hilo sio jaribu hata...
Tuseme nini sisi madaktari tunaoona nyuchi za wamama za kila aina....??? Tena si kuona tu bali tunazishikashika na kuzipekua kama tunafukua magimbi vile...
Sasa wewe unayeishia kuona juu ya nguo tu...ukipewa hii kazi si tutakupoteza
Kaka hilo sio jaribu hata...
Tuseme nini sisi madaktari tunaoona nyuchi za wamama za kila aina....??? Tena si kuona tu bali tunazishikashika na kuzipekua kama tunafukua magimbi vile...
Sasa wewe unayeishia kuona juu ya nguo tu...ukipewa hii kazi si tutakupoteza
Na akida kaka waliooa je kwa wadada single?
Jamani labda mwenzenu ni mdhaifu hawezi vumilia dady watu8 kila mtu na ujasiri wake wa kujiheshimu lakini anachozungumzia ni kweli
si unajua baadhi ya wadada maofisini nguo wanazovaa? hatari sana mkuu yaani nouma vibaya mno.
Hahaha...mwanaume akihasiwa bado anakuwa na uwezo wa kudindisha isipokuwa hazalishi tu.