Jumboplate
Senior Member
- Jul 29, 2008
- 133
- 10
Nakumbuka wakati wa zamani kidogo ilikuwa kazi sana kumtongoza msichana, yani ilibidi uwe umejiandaa sana kwanza kabisa kupata nafasi ya kukutana naye, pili kupata nguvu za kufunua mdomo ili umweleze maneno yaliyopo moyoni mwako (kumtongoza) na tatu kupata subira wakati unasubiri ujibiwe ombi lako la kufanya naye mapenzi. Process yote ilichukua si chini ya wiki mbili hadi miezi.
Wakinadada wa sasa naona kama vile hali imekuwa tofauti sana...yani kuna wakati siamini kuwa mtu anaonana na demu for the first time halafu namtongoza kisha wanafanya mapenzi within 3 hours za tokea walipokutana!!!!mbaya zaidi kuna wengine wanatongozwa hata kwa sms bila hata ya kuonana uso kwa uso hadi wanakubaliana kukutana na kufanya mapenzi!!
Sasa bado sijajua tatizo ni nini...ingawa kwetu sisi wanaume imeturahisishia kidogo lakini ikizidi inaondoa ile ladha ya kutongoza. Na siamini kuwa eti labda wanaume wa sasa wamejaaliwa seducing power kuliko wa zamani, sasa je tatizo (kwa wanaume nimesema si tatizo) ni nini hasa dada zangu???