Akina dada njooni hapa mnisaidie

Akina dada njooni hapa mnisaidie

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,553
Reaction score
28,406
Habari za mwanzo wa wiki wana MMU

Akina Dada naombeni mnusaidie wakati wanaume wanataka kuanzisha mahusiano ya kimapenzi na nyie ni vigezo gani hasa huwa mnazingatia ili kuwakubalia au kuwakatalia wanaume?

Haijalishi ulimfahamu kabla au ndiyo Mara ya kwanza kukutana naye.

Karibuni tufahamishane.
 
Pesa tu yatosha, vingine ni kadhalika tu...
 
Persanal appearance yake tu ikiwa n mara ya kwanza nakutana nae
 
Mkuu chakii

Ungeuliza pia wanaume waliofanikiwa kuwapata, ungepata majibu murua zaidi. Ila pia nadhani kujiamini ni kitu kikubwa sana kinachosaidia kuwapata. Unaweza ukawa na pesa lakini ukaambulia patupu.

Jiamini, kuwa smart hela sio lazima sana hizo ni additional features tu. Na usmart sio wa kupiga pamba tu.
 
Last edited by a moderator:

Shukrani mkuu, nina imani umeeleweka mkuu
 
Last edited by a moderator:
Persanal appearance yake tu ikiwa n mara ya kwanza nakutana nae

usijidanganye dada yangu siku hizi matapeli na wazinzi ndo wanatengeneza appearance nzuri ili wawakamate vizuri (jichunge sana....) kaa na mtu ujue tabia yake kwanza appearance unaweza kumbadilisha UTAKAVYO.
 
Owh amesema at first time so.tabia yake utaionaje mim naangalia ukoje halaf kukuangalia.ukoje sio kua nimekukubalia aaee tabia tutasomana kimya kimya
 
Hapa zaidi......
 
Attachments

  • 1411980274008.jpg
    1411980274008.jpg
    15.3 KB · Views: 345
Back
Top Bottom