Napenda kutoa maoni yangu ili nipate na yenu tafadhali. Akina dada/mama wanapenda sana kuvaa suruali hata kama haziwapendezeshi kwa baadhi ila kwa wale ambao wamejaaliwa ni uhondo mtupu. Chunguza chunguza yangu nimegundua wengi wanavaa kuficha ubaya wa miguu yao mfano wale waliojichubua wanavaa kuondoa aibu.
ahahaha..sasa chalii yangu shao...unadhani haya majungu ma-gossip na mafinyufinyu kama haya watu tuyapeleke wapi???...au unadhani jf kuwa home of great thinkers ndio hatu-think majungu kama haya...au na wewe miguu kimeo unaisitiri kwenye suruali???....
hii kitu ni kweli kabsaaa...na ukikuta binti kajaaliwa nyonga na mgongo ndio usisieme..tutavaliwa jinz za kubana marali tutavaliwa linens na vibikini ilimradi midume tujue tuu mwenzetu anamiliki Weapons of Men distructions...Ni maoni tuu
Sarawali ni vazi kama lingine. Tunavaa ili tujisitiri,kujikinga na wadudu, baridi nk.
Mawazo mengine ni mtazamo binafsi wa usongo wa akili elekezi katika njia isiyo sahihi.
Sarawali ni vazi kama lingine. Tunavaa ili tujisitiri,kujikinga na wadudu, baridi nk.
Mawazo mengine ni mtazamo binafsi wa usongo wa akili elekezi katika njia isiyo sahihi.
Binafsi sina tatizo na suruali kama vazi kwa akina dada/mama.Tatizo langu ni kwamba ni kama alivyosema mtoa mada kwamba baadhi zinawaharibia haiba yao kama wanawake. Kwa hiyo utaona kwamba kama lengo la kuvaa suruali ilikuwa kutoka chicha kama wanavyosema watoto wa mama lengo linakuwa limeanguka.
Ushauri kwa wote Kinababa/mama tuwatumie partners wetu kama washauri wa mavazi kwani wakati unavaa mwenzio si ankuwepo? Bei gani kumuuliza hapo vipi? Akikwambia huo ni mpapure live then you change to goun or any compatible dress.
Kama ni surali kwa kina dada kwa ajili ya kujikinga na baridi,wadudu kama alivyo changia dada hapa hii inakubalika kwakuwa NGUO ZA JESHI SIO LAZIMA ZIPENDEZE.