Kwa kiasi kikubwa wanawalenga waume za watu. Kuwa baba mwenye nyumba ni mateso sana...Lakini wake za watu...
"Miaka ya nyuma kidogo ulkua unafunua chupi ulione tako la mwanamke, lakin kwa sasa unafunua tako ili uone chupi ya mwanamke"( Madebe Lidai 2019).Yako very transparent...yaani yana akisi yote yaliyomo ndani.
Lakini nimegundua kabisa madera haya yayoakkisi mnayavaa makusudi kabisa na mnatembea nayo mtaani.
Pia nimefahmu siku hizi hamvai underskirts...wala tight ambazo atleast ziyashikilie makalio yasichezecheze.
Sasa swali.
Hivi kwanini mnatufanyia hivi ....!?? Mnatutaka nini.!?
Na vi chupi hivi mnavyovaa siku hizi ni kama kamba...yani unaona kila kitu.
Kwakweli hili lijadiliwe hapa.
Nia yenu ni nini hasa!??
Wengine tupo vijijin tutaaminije bila picha? Weka picha tushuhudie woteYako very transparent...yaani yana akisi yote yaliyomo ndani.
Lakini nimegundua kabisa madera haya yayoakkisi mnayavaa makusudi kabisa na mnatembea nayo mtaani.
Pia nimefahmu siku hizi hamvai underskirts...wala tight ambazo atleast ziyashikilie makalio yasichezecheze.
Sasa swali.
Hivi kwanini mnatufanyia hivi ....!?? Mnatutaka nini.!?
Na vi chupi hivi mnavyovaa siku hizi ni kama kamba...yani unaona kila kitu.
Kwakweli hili lijadiliwe hapa.
Nia yenu ni nini hasa!??
Mwenye uzi naona NI mlokole
kwamba ungekuwa jogoo ungemrukia ukajisevia?Ni hatari kweli...kuna binti kasmama mbele yangu hapa..hadi nikasema bas tu
kwa kuwamega,,,Hao watu wameshindwa kuwa control wake zao, acha jamii iwacontrol
Ambao hatuvaagi madela nahisi Mada haituhusu
Ngoja wavaa madela waje wajitetee