Akina dada msijidanganye

Una safari ndefu sana best,eti ukifika 30 hujaolewa huna vigezo vya kuwa mke!!
Yaani mdada wa watu akubali tu hata yakija mauza uza kisa yuko above 30!
Sijaona wodi wanayolazwa wasioolewa mie,waacheni wadada wa watu wapumue!!!
 
so unataka wawe zoa zoa yeyote twende kisa age inasoma 30 mmmmh hapana hata wakiwa wanafunuliwa papuchi ni yao au yako??? kikukeracho kipi mmengekuwa pacha mlioungana nisingeshangaa otherwise umevurugwa somewhere
Hivi si nakumbuka serikali inashauri mwanamke aolewe akiwa ana umri mkubwa - amekomaa hasa kutoka a na madhara yanayotokana na uzazi. Kinadada piganieni haki zenu kwa nguvu sana
 
No ni mipango tu ya maisha.... vhunguza ndoa nyingi waliolewa wanamiaka 25.26 ni matatizo any way siataki kumwamini hata kidogo ... life is more than mariage

ww miss chagga acha kutudanganya sio kila aliyekwenye ndoa anapata shida kama ww unavyodhan.
Najua ww ulikutana na faru njian
 
Last edited by a moderator:
miss chagga i hope hujamuelewa mgiriki!
Ikiwa unataka kuolewa punguza masharti! Kitendo cha wewe kufika miaka 30 bila ya kuolewa na hauna sababu ya msingi, ni kwamba mwenyewe unadosari!

I hope lugha aliyotumia ndio tatizo!

naamna hyo mkuu max
 
hahahaha afu najua kwavile unanisarandia usiogope tunapeana za uso kiroho safiii na ule mtongozo ongeza speeed maana hayo masharti na vigezo sijui ka utaweza

kweli bhana itabidi niongeze nguvu kwasababu nmechoka kukaa nayo moyon ila naomba usiniwekee masharti magumu
 
Mmmmmh
sipendi thread za aina hiii!
Kwann uko sooo negativr towards women?
Walikukosea nini?
Acha kutumia maisha yako kama kioo cha maisha ya wengine!
Aliyekwambia wanaolewa kwa uzuri wa sura nan?
Aliyekwambia wanaoolewaa wote ni wacha Mungu nani?
 
Kwa maisha ya sasa ni vyema mwanamke akaolewa baada ya kufikisha miaka 30. Chini ya hapo ni kuzinguana. Hata mwanaume awe amehanja weee na kuona kuwa tofauti ni mabucha (wowowo, kimbaumbau, urembo, mrefu, mfupi,...) ila nyama (k) ni ile ile. akifikisha miaka 30 au zaidi hapo atakuwa ametulia na kujenga familia
 
Umepewa masharti nn kijan ukaona hasira zako utupie huku,having dat age bila kuolewa si ishu sn,mpango mzima ni kuendesha maisha yako ukiwa mwenye furaha na aman..wangap wameolewa wakiwa na age ndogo bt wanajuta kuolewa..ndoa zenyewe zikoap cku hz majanga matupu.
 
Hapa naona watu wasiolewa hadi leo na ambao hawataolewa sababu ya vitabia vyao vibaya vibaya wanaongea kwa jaziba.
Watu ndoa wanataka fanya mitaji ya biashara, nyumba upewe ili iweje? Ukute hiyo ya kisasa hata kwenu haipo
 

asante mgiriki umeona
 
Last edited by a moderator:
Hongera nyingi kwa Dida
Kielelezo cha mwanamke mzuri, tabia njema mwenye sifa zote za kuwa mke
 
bravoo,bravoo,bravoo,bravooooooo:a s 11:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…