Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,174
Hahahahaaaaa, ID yako imenichekesha kweli dah! JF is really a place to be when you are bored!Habari za asubuhi wana MMU. Nimeona nitoe darasa kidogo kwa baadhi ya akina dada wanaopenda vya mteremko.
Ni hivi; kuna wadada(baadhi ila ni wengi wao) wanapenda kuombaomba pesa kwa watu wasiowafahamu vizuri! unakuta anafanya kama anatania kumbe ndio hivyo tena. Hii huwa inanitokea sana, huwa nashangaa mtu sina ukaribu nae wowote anakuja kuniambia nimpe hela akale chips wakati mimi mwenyewe napiga miayo tu, huwa najiuliza hivi hawajui kuwa wengi wetu pesa ni tatizo?
Acheni hiyo tabia.
Na wewe mnyime kama unatania tania hivi, hapo mtakuwa mmefika kwenye equilibrium..Habari za asubuhi wana MMU. Nimeona nitoe darasa kidogo kwa baadhi ya akina dada wanaopenda vya mteremko.
Ni hivi; kuna wadada(baadhi ila ni wengi wao) wanapenda kuombaomba pesa kwa watu wasiowafahamu vizuri! unakuta anafanya kama anatania kumbe ndio hivyo tena. Hii huwa inanitokea sana, huwa nashangaa mtu sina ukaribu nae wowote anakuja kuniambia nimpe hela akale chips wakati mimi mwenyewe napiga miayo tu, huwa najiuliza hivi hawajui kuwa wengi wetu pesa ni tatizo?
Acheni hiyo tabia.
labda 2kuulze mkuu! kwan ww umewasaidia wangap waliokuomba. nakwann akuombe ww na sio mwenzako? sawa wapo ila hata cc 2najrahc mno! 2natoa co kwa kumsaidia unakuta baada ya kumsaidia unataka namba ya cm ya nn?
Wape siku mojamoja sio mbaya, ya chips tu lakini. Si unajua viepe ndio nyota yao?
Viepe wapelekeeni wanafunzi, mie nipeni Samsung Galaxy S5
Hyo ndo bei yako? Nilijua unataka Jeep
Hyo ndo bei yako? Nilijua unataka Jeep
Viepe wapelekeeni wanafunzi, mie nipeni Samsung Galaxy S5
Hyo ndo bei yako? Nilijua unataka Jeep
Hapa utawajua tu..! huyu wa kwanza wa level ya S4 tusubiri wengine mkuu.. Kwel patam hapa..!