Akina dada, lengo lenu ninini hasa?????????????? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Akina dada, lengo lenu ninini hasa??????????????

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Sinai, Feb 28, 2011.

 1. Sinai

  Sinai JF-Expert Member

  #1
  Feb 28, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 289
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  :mullet::mullet::mullet::mullet::mullet:Wajameni, last week-end nilihudhuria harusi moja hivi, nilipo fika ukumbini, nilikutana na wanadada takribani wote wamevalia vinguo vya utatanishi!!!? Wengi wao walivaa nguo za kubana sana na trasparency yaani zinaonyesha kufuli zao zilipo anzia hadi zilipoishia, na wale waliovaa chachandu nazo zilikuwa zinaonekana wazi wazi! Ilipo fika wakati wa kujimwaga, wakawa wanashindani kukata mauno mbele ya wanaume, huku wakiinama wakiwa wanajua kabisa kuwa wamevaa vimini tena vya hatari!

  Wadada lengo lenu hasa ninini hapo? Kuwatamanisha wanaume? Kuonyesha kwamba mnajua kukata mauno??????????????:mullet::mullet::mullet::mullet:
   
 2. Desidii

  Desidii JF-Expert Member

  #2
  Feb 28, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 1,212
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Biashara matangazo
   
 3. Digna37

  Digna37 JF-Expert Member

  #3
  Feb 28, 2011
  Joined: May 17, 2010
  Messages: 835
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 60
  Hao walikuwa rafiki wa bibi harusi, bwana harusi ama ndugu zao? Sipati picha!
   
 4. LD

  LD JF-Expert Member

  #4
  Feb 28, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Joto
   
 5. Sita Sita

  Sita Sita JF-Expert Member

  #5
  Feb 28, 2011
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 1,197
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  mkuu mi nilikua na wife kwenye harusi basi tabu tupu mara wanikonyeze mara wanilegezee mimacho.

  ikabidi tuondoke mapema

  ila wale walikua friends wa bibi harusi who happens to be my relative
   
 6. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #6
  Feb 28, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mambo kama hayo yanatokea kwenye harusi nyingi tu na mara nyingi hao wadada wanakuwa ni rafiki wa Bibi Harusi kama alivyosema Desidii kwamba biashara matangazo kila mtu anataka kuonekana mkali kuliko mwenzake
   
 7. Digna37

  Digna37 JF-Expert Member

  #7
  Feb 28, 2011
  Joined: May 17, 2010
  Messages: 835
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 60
  Haya! Kama ni rafiki wa bibi harusi, basi ndo picha ya huyo bi harusi wenu. Kumekucha. :coffee:
   
 8. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #8
  Feb 28, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Digna nimeishaudhuria harusi nyingi ukifika wakati wanataja marafiki wa Bibi Harusi waje mbele nakwambia utakuwa unabaki kutoa macho maana SHOW OFF inayokuwa hapo mbele thubutu tu wasiambiwe wacheze mziki utakoma kuwafahamu anywayz wengine wanaweza wasiwe na nia mbaya lakini huwa wanasema FIRST IMPRESSION always counts.
   
 9. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #9
  Feb 28, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,143
  Trophy Points: 280
  Si lengo lao bali ni uhalisia ulivyo, wana-hamu na wanaume ni kidogo kuliko wanawake na hao wafanyavyo hivyo hufikiri kuwa ndio njia ya kuvutia wanaume au hata wanawake wenzao, kwani hali ya siku hizi inaonesha kuwa kufanyana wanawake wenyewe kwa wenyewe ni jambo lililokubalika.

  Hapo wewe ungezowa tu aliekutia ashki ukenda kumlamba, unauliza jibu?
   
 10. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #10
  Feb 28, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Isikupe shida mkuu. Hapo ni kuuma jino na kukunja kidole ili ujifanye unafanya uchawi fulani. Ukishindwa mwombe Mungu la sivyo utasimama tu. Nadhani wanawake wa Bongo wamegundua weekness ya wanaume ilipo na nafasi hiyo sasa wanaitumia vibaya.
   
 11. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #11
  Feb 28, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  Hivi mpwa ukali wa hao wakinadada,
  unaweza kudhihirishwa kwa kukaa uchi kweli?
   
 12. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #12
  Feb 28, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Unajua mtu akiwa anafanya kitu kwake yeye anaweza kuona ni sawa kwamba anaku-IMPRESS wewe kumbe ndio anaku-DISCOURAGE zaidi kila mtu huwa ana fikra tofauti yeye kukaa uchi anaweza aone sawa tu kwamba ndio njia sahihi ya kuweza kumpata mwanaume kumbuka us HUMAN BEINGS WE ARE NOT THE SAME WHEN IT COMES TO THINKING
   
 13. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #13
  Feb 28, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135


  unajua sinai, kwa mtazamo wangu,
  mimi nadhani hii dhana ya wanaume kuanza kutongoza wanawake,
  ndiyo iliyotufikisha huku!!!!!!
  Kama ingetokea kuwa mwanamke nae akivutiwa na mwanaume fulani,
  basi direct anamvaa jamaa na kumpa sera, haya yote ya kukaa uchi wala yasingetokea,
  sasa matokeo yake unakuta njia nyepesi ya hawa dada zetu ni kujikalisha uchi na hizo nguo,
  zao za utata ili wajaribu kudraw attention za wanaume!!!!
  ANGALIZO: (BADO SABABU ZA KUKAA UCHI ZINAWEZA KUWA NYINGI ZAIDI YA HII)
   
 14. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #14
  Feb 28, 2011
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Poleni sana WAUME ZETU
   
 15. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #15
  Feb 28, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  nimeipenda hii mpwa,
  lakini hili la kujikalisha uchi kiukweli ni upotofu w kifikra tu!
   
 16. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #16
  Feb 28, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Pole ya nini FP?
   
 17. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #17
  Feb 28, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  tunajitahidi kuyashinda majaribu
   
 18. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #18
  Feb 28, 2011
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  si ya hivyo vishawishi? au hamuhitaji pole? naona mnalalamika ndo maana nikawapa pole
   
 19. Kituku

  Kituku JF-Expert Member

  #19
  Feb 28, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 239
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mambo ya nyakati..Lady gaga
   
 20. RR

  RR JF-Expert Member

  #20
  Feb 28, 2011
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,719
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Joto wapi mshiki...hata kukiwa na viyoyozi!
   
Loading...