Akina dada, lengo lenu ninini hasa??????????????

tunajitahidi kuyashinda majaribu

yaani, mi huwa nawaonea huruma sana.
hayo mambo huwa hayaishii huko kwenye maharusi tu.
siku hizi ukipita mitaa ya vyuo utashangaa kuona vinguo ambavyo wadada wanaingia navyo darasani. Mi huwa najiuliza, hawa ndugu wanaenda darasa, beach, party, disco....................? yaani hawaeleweki. hasa kama somo anafundisha mwalimu kijana...........
 
Nao wanataka kupata mume, kama alivyosema mkuu mmoja hapo juu biashara matangazo!
 
Wanatafuta na wao mabwana harusi kwani sikuhizi kuolewa lazima umvutie mtu!kwani hata soda zinafanana kati ya pepsi na coca ila kinachotafautisha ni jinsi gani biashara ulivyoitangaza!!
 
yaani, mi huwa nawaonea huruma sana.
hayo mambo huwa hayaishii huko kwenye maharusi tu.
siku hizi ukipita mitaa ya vyuo utashangaa kuona vinguo ambavyo wadada wanaingia navyo darasani. Mi huwa najiuliza, hawa ndugu wanaenda darasa, beach, party, disco....................? yaani hawaeleweki. hasa kama somo anafundisha mwalimu kijana...........
Yaani tuna kazi kwa kweli....kuna siku nilisimamia mitihani katika chuo kimoja cha utumishi wa umma, vituko nilivyofanyiwa na mabinti sina hamu!
 
Wanatafuta na wao mabwana harusi kwani sikuhizi kuolewa lazima umvutie mtu!kwani hata soda zinafanana kati ya pepsi na coca ila kinachotafautisha ni jinsi gani biashara ulivyoitangaza!!
Hi! hapana unakosea.
Ni ujinga flani wa wadada kwani swala la kupata wa kukuoa ni tofauti kabisa nakujianika nusu uchi.
Wanaume hutushusha dhamani tunapojianika kwa hiyo hao wapo kwenye biashara zingine sio za kusaka mume.
Imefikia mahala ukienda kwenye harusi huthubutu kukaa meza mmoja na your blood braza manake mtabaki kuoneana haya.
 
Hapo ndipo tulipo fikishwa na bado.
Wameanzia kwa waganga wa kienyeji kuoshwa ili nuksi itoke bila mafanikio.
Hakuna anae wasalimu labda mjomba wake.
Miezi inapita bila kuchakachuliwa maana wanaume nao nguluwe pita mkuki sina kwa vile, wanashindia kahawa na kashata wamepigika!
Sasa kashangae Rozana Buguruni Kuna hata wanapipa debe Tigo buku jero voda nyongeza. tigo buku jero voda nyongeza.....
Kweli dhamira kwishinei!
 
Harusi nyingi hufanyika usikua ....Nguo za kutokea usiku kwa kina mama huwa zinawaweka sexy!Ukijihudhulisha kwenye Harusi na mkeo..na wewe usiwe mtulivu lazima mtagombana tu maana kila mara utakuwa unakata shingo tu!nI UVUMILIVU UNAOTAKIWA.LA SIVYO UTASHINDWA KUHUDHURIA SHUGHULI HIZI.NDO MAVAZI YA SHUGHULI HAYO BABA....
 
Hata nyie mnalalamika uongo tu karibu 99% ya wanaume wote wanapenda kuangalia espe kama sio ndugu/mtoto wako
 
Hapo ndipo tulipo fikishwa na bado.
Wameanzia kwa waganga wa kienyeji kuoshwa ili nuksi itoke bila mafanikio.
Hakuna anae wasalimu labda mjomba wake.
Miezi inapita bila kuchakachuliwa maana wanaume nao nguluwe pita mkuki sina kwa vile, wanashindia kahawa na kashata wamepigika!
Sasa kashangae Rozana Buguruni Kuna hata wanapipa debe Tigo buku jero voda nyongeza. tigo buku jero voda nyongeza.....

Kweli
dhamira kwishinei!

du kazi kweli kweli,
jibaba unaweza kujikuta unalipa in advance!!!!!!!

Hapo ndipo tulipo fikishwa na bado.
Wameanzia kwa waganga wa kienyeji kuoshwa ili nuksi itoke bila mafanikio.
Hakuna anae wasalimu labda mjomba wake.
Miezi inapita bila kuchakachuliwa maana wanaume nao nguluwe pita mkuki sina kwa vile, wanashindia kahawa na kashata wamepigika!
Sasa kashangae Rozana Buguruni Kuna hata wanapipa debe Tigo buku jero voda nyongeza. tigo buku jero voda nyongeza.....
Kweli dhamira kwishinei!

Hahahaaaaaa lol
 
Back
Top Bottom