Akina dada kwanini mnavunga huku manataka??????

akikusumbua achana naye mbona tuko wengi tu
 

Kijana naona ndo unaingia ulingo wa kutongoza sasa.
Mabinti kuwa na mapozi ni kawaida, ila mapenzi yanatakiwa yawe pande zote.
Wewe tulia tu, kama anakupenda nae atakutafuta tu maana kuna mabinti wengine ukiwafuata-fuata sana wanaweza kukupelekesha
Huyo ameshajua kuwa unampenda inatosha, kama nae anakupenda atakutafuta tu.
Mapozi yakizidi yanakuwa kero
 
Dena hii ndio lugha ya vijana wetu wa enzi za JK na nikitumia utabiri wangu atakuwa form 2,wa form 4 hao tayari wataalam lol!

Yaani wameharibikiwa kabisa kanichanganya kweli ikabidi niombe usaidizi kwa Susy
 
Kuandika una weza ila huelewi pamoja na kufundishwa mamiaka kibao sasa lugha ya huyo msichana uliielewa kivipi?
hapa inaonesha wewe ni kilaza kwa issues zote, Academic and Sosho life
 
hukuwa mvumilivu... Mvumilivu hula mbivu!!!! Hata Bata anapata kwa shida, Lazima afukuze kwanza, Acha UVIVU Kijana.....
 
Elia I'm taking u out for dinner tonight..
Sante sana my dear..
yaani hii thread ifungwe tu
Maana kazi kwisha..
anayetaka kujua zaidi
Am PM Ellia

Oh, Thanks! afrodenzi, But i prefer a cup of black coffee, is it okey?
 
sawa mwl. wa kiswahili nadhani jamaa hatarudi tena.................ila usimchape
 
vyote sawa tu....kama mtu anakuchukulia malaya hata uki-play hard to get atakufikiria hivyo na intention haibadilishwi kwa ku-play hard to get....kama mwanaume anakupenda itabaki kuwa anakupenda na kama alikuwa anataka ku-hit and run hata after two years atafanya hivyo......!!

Nafikiri ni vizuri mwanamke akawa wazi kuwa nahitaji muda kukufahamu na kuamua kama niwe na wewe au lah....lakini kudanganya kuwa una wako,sijui nini then unaanza kulalamika yule mwanaume anapokuwa amekata mahusiano ni aina fulani ya wendawazimu....thats not playing hard to get....may be tanzanian way.....ni kujidanganya mwenyewe!!!:washing:
 

Michelle mpenzi you have just spoken my mind....yaani right there to the point

Nidai leo mtoko jioni...kiti moto na some valeurs....and anything you wish of course...saa nyingine tunaishi mno kwenye utopia
 
Susy wewe haya bana.

Halafu upunguze kuringa na wewe

DA, acha susy aringe... halafu kuringa huwa kunawaongezea thamani na urembo, asiyeelewa anadhani kulinga ni kitu cha ajabu sana, but what i understand kuringa ni pamoja na kuwa selective! You take what you think suit you.
 
Michelle mpenzi you have just spoken my mind....yaani right there to the point

Nidai leo mtoko jioni...kiti moto na some valeurs....and anything you wish of course...saa nyingine tunaishi mno kwenye utopia

mpenzi una tabia ya kunitoroka ule muda wa mtoko unapofika....juzi nimesubiri valeur hujaniletea nikaenda kukopa kwa mangi.....leo naoga kuanzia sasa,naomba usiniangushe.....i have another wish,i will tell you after i have some valeur in the evening!!
 

consider that one done my dear:tongue:...leo nitakuwapo on time kabisa.....na deni la mangi nitalipa 2x of course...:lol:
 
DA, acha susy aringe... halafu kuringa huwa kunawaongezea thamani na urembo, asiyeelewa anadhani kulinga ni kitu cha ajabu sana, but what i understand kuringa ni pamoja na kuwa selective! You take what you think suit you.
Mimi mpenzi asiye ringa kidogo wala hatudumu,hainogi kabisa hahaha!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…