Akina dada bwana!, fedha au ufike kileleni, chagua moja,

nakaribia kukuunga mkono maana hao hawanaga longolongo.....

Sasa huko ndiko hautaombwa hela? Tatizo ni kuwa wanaume wa siku hizi hata nyimbo hawazijui, mnaanza na majigambo na kujionesha kuwa mnazo. Sasa wewe unitoe Kibaha hadi Sinza, kwa nini usinirudishe, acheni urongoo bana hata nyie huwa mnapenda kuhonga
 
Da Bombu....kutongoza ni kutongoza tu, iwe kwa nyimbo au kuhonga....ili mradi lengo (uroda) tu litimie!
 
kwa maana ingine hawa wenzetu ni wabinafsi kila kitu wapewe wao,then ndio wa kwanza kusema haki sawa kwa wote katika hili hamtutendei haki au ndio mnatumia sex kama fimbo kutukomoa?mmepewa bure nanyi mtoe bure
 
kutoa pesa ndo uwanamume bwana we vp, kilelen nataka nifike na pesa ya kununulia sabuni ya kuogea jasho utanipa
 
kwa maana ingine hawa wenzetu ni wabinafsi kila kitu wapewe wao,then ndio wa kwanza kusema haki sawa kwa wote katika hili hamtutendei haki au ndio mnatumia sex kama fimbo kutukomoa?mmepewa bure nanyi mtoe bure

haahaahahaaa...mia.
lakini nafikili ukishamuoa anakugea bule au siyo?mia
 
Utakosa mambo mazuri kwa sababu ya ubahili wewe, hata hela ya taxi inakuuma!
 
kwa maana ingine hawa wenzetu ni wabinafsi kila kitu wapewe wao,then ndio wa kwanza kusema haki sawa kwa wote katika hili hamtutendei haki au ndio mnatumia sex kama fimbo kutukomoa?mmepewa bure nanyi mtoe bure

haaah haah haah mkuu umetishaa! Wamepewa bure nasi watupe bure haah haah haah ur ryt mia
 
mnataka vyote?!!!! basi mtakosa vyote maana tutakuwa tunawadanganya ukishamaliza shida zetu tunasepa!!!!

Na hiyo ndio sababu inayopelekea wadada siku hizi kudai chao mapema kabla ya shughuli ili hata ukisepa awe ameshaclear bill zake mtaani...hiyo labda ukaiaplai bushi.
 
Mi huwa nawashangaa sana madada,
Nimekupeleka lunch,... nikakupeleka saluni, nikatafuta chumba ili tubenjue ile amri ya 6, wakati tunaibenjua hiyo amri, unadai eti nikufikishe kunako kilele. Mara baada ya shughuli, unadai eti hela...huwa mnasemaga hivi....., ooh, nifanyie mpango nikanywe supu....ooh, nataka nauli ya taxi nirudi nyumbani.,....halafu hizi kucha nataka nikazibadilishe rangi.... Sasa kama unataka nikugharimie kihivyo, ya nini utake nihangaike vilevile kukufikisha kunako kilele cha kibo? Yaani wewe unapata faida mara mbili.....Ungechagua moja kati ya haya...kufika kibo au hela na siyo kupata vyote kwa pamoja. Mbona mnataka kutupunja sisi wanaume?
Kuanzia sasa, ukigharimiwa basi sahau suala la kufikishwa kibo, ukitaka ufikishwe kibo basi na wewe uchangie gharama za maandalizi ya shughuli.......
Makubwa! Hivi ile dhana ya 50 kwa 50 inatekelezeka kweli km mdundo ndo kama hivyo?'
 
Achana na ngono za mitaani maana zinahusu pesa na starehe pia,oa ufaidi ku-du.
 
wamepewa bure na wao watoe bure...labda tuchangie gharama za kufanya hilo tendo. hivi ile dhana ya fifty fifty iko mjengoni na kwenye vyeo tu? mbona tukija upande wa kushea gharama wenzetu mnalalamika?
 
Da Bombu....kutongoza ni kutongoza tu, iwe kwa nyimbo au kuhonga....ili mradi lengo (uroda) tu litimie!

najua kutongoza ni kutongoza, Lakini ukumbuke usemi wa "mwana umleavyo......". Mie umekuja na gia yako ya fweza, tutakwenda kifweza fweza, ooh, sijui kuna gari langu nimeagiza litaingia soon, ooh sijui mie hela kwangu si tatizo, hakuna mtu asiyependa hela hapa duniani, na hata hivyo kwa zama hizi wapo wanaume wengi tuu wanaopiga mizinga
 
Usiseme mademu coz sio wote wana njaa kama huyo uliyekutana nae...huyo wako ana ziki kuu ndo mana anaomba, omba hovyo, mwambie wanawake siku hizi tunaweza, ila na wewe kama huyo ni mpenzi wako ni haki yako kumuhudumia, unataka nani ampe hela ya saluni?..na inaonekana humpi mpaka nywele zinachakaa anaamua kuomba. Uwe unampa pocket money bana!..
Kwanini demu apewe hela ya saloon? si ndo mdai haki sawa nyie. Utakuwaje haki sawa na sponsor wako au boss? Mkitaka kuhudumiwa acheni nyodo kuweni wapole, saslimia kwa kupiga magoti, kili nyie ni dhaifu, tetemekeeni wanaume. Hapo mtalipiwa kila kitu bila shida. Kama mnaweza kuna ubaya gani nanyi mkalipia vyumba, usafiri supu nk. Who pays the piper determines the tune.oh. usawa, Usawa, usawa.... lipieni na guest bas.
 
Mi huwa nawashangaa sana madada,
Nimekupeleka lunch,... nikakupeleka saluni, nikatafuta chumba ili tubenjue ile amri ya 6, wakati tunaibenjua hiyo amri, unadai eti nikufikishe kunako kilele. Mara baada ya shughuli, unadai eti hela...huwa mnasemaga hivi....., ooh, nifanyie mpango nikanywe supu....ooh, nataka nauli ya taxi nirudi nyumbani.,....halafu hizi kucha nataka nikazibadilishe rangi.... Sasa kama unataka nikugharimie kihivyo, ya nini utake nihangaike vilevile kukufikisha kunako kilele cha kibo? Yaani wewe unapata faida mara mbili.....Ungechagua moja kati ya haya...kufika kibo au hela na siyo kupata vyote kwa pamoja. Mbona mnataka kutupunja sisi wanaume?
Kuanzia sasa, ukigharimiwa basi sahau suala la kufikishwa kibo, ukitaka ufikishwe kibo basi na wewe uchangie gharama za maandalizi ya shughuli.......
Pole. Kumbe huifahamu falsafa ya mapenzi na saikolojia ya kike!
 
ama kweli mzoea vya kunyonga vya kuchinja haviwezi! kama unaona gharama sana acha kutafuta madem wa town kama vipi nenda kijijini kwenu kachukue wanaosuka nywele za mkono na wanja wa kuchoma mapira.
 
mhhhhh..una majibu makavu kwelikweli.
 
Back
Top Bottom