Akina dada bwana!, fedha au ufike kileleni, chagua moja,

Akina dada bwana!, fedha au ufike kileleni, chagua moja,

najua kutongoza ni kutongoza, Lakini ukumbuke usemi wa "mwana umleavyo......". Mie umekuja na gia yako ya fweza, tutakwenda kifweza fweza, ooh, sijui kuna gari langu nimeagiza litaingia soon, ooh sijui mie hela kwangu si tatizo, hakuna mtu asiyependa hela hapa duniani, na hata hivyo kwa zama hizi wapo wanaume wengi tuu wanaopiga mizinga

Hacha ku2danganya.ila me huo mchezo niliufanya mwaka 2008 nilikuwa na biashara ya vi2mbua,chipsi,madazi na vi2 vingi vinga.Kila aliponiomba pesa nilikuwa nampa mandazi anenda anauza au ananywea chai mwisho alichoka baada ya kuyafunga akasema leo cna hoda,unipe cash.
 
mi huwa nawashangaa sana madada,
nimekupeleka lunch,... Nikakupeleka saluni, nikatafuta chumba ili tubenjue ile amri ya 6, wakati tunaibenjua hiyo amri, unadai eti nikufikishe kunako kilele. Mara baada ya shughuli, unadai eti hela...huwa mnasemaga hivi....., ooh, nifanyie mpango nikanywe supu....ooh, nataka nauli ya taxi nirudi nyumbani.,....halafu hizi kucha nataka nikazibadilishe rangi.... Sasa kama unataka nikugharimie kihivyo, ya nini utake nihangaike vilevile kukufikisha kunako kilele cha kibo? Yaani wewe unapata faida mara mbili.....ungechagua moja kati ya haya...kufika kibo au hela na siyo kupata vyote kwa pamoja. Mbona mnataka kutupunja sisi wanaume?
Kuanzia sasa, ukigharimiwa basi sahau suala la kufikishwa kibo, ukitaka ufikishwe kibo basi na wewe uchangie gharama za maandalizi ya shughuli.......

ahahahahahahaaaa...!! Kuna ka ukweli.
 
Unawafikisha huko kibo? Au uwezo mdogo so unajitetea
 
Tatizo ni nini hapo?halaf unashindwa kujua kuwa hili suala ni starehe kwa watu wote wawili sio kila Dada anapenda hela bana hata wadada wanafanya for leisure sometimes so acha kukariri ndo ulivyomzoeza
 
Ukiwa nazo yeye pia atajituma na mtafaidi wote.
 
najua kutongoza ni kutongoza, Lakini ukumbuke usemi wa "mwana umleavyo......". Mie umekuja na gia yako ya fweza, tutakwenda kifweza fweza, ooh, sijui kuna gari langu nimeagiza litaingia soon, ooh sijui mie hela kwangu si tatizo, hakuna mtu asiyependa hela hapa duniani, na hata hivyo kwa zama hizi wapo wanaume wengi tuu wanaopiga mizinga

Sijui umejuaje nimeku pm no zangu unitumie vocha nijiunge bundle pia nitakucall pls
 
Mi huwa nawashangaa sana madada,
Nimekupeleka lunch,... nikakupeleka saluni, nikatafuta chumba ili tubenjue ile amri ya 6, wakati tunaibenjua hiyo amri, unadai eti nikufikishe kunako kilele. Mara baada ya shughuli, unadai eti hela...huwa mnasemaga hivi....., ooh, nifanyie mpango nikanywe supu....ooh, nataka nauli ya taxi nirudi nyumbani.,....halafu hizi kucha nataka nikazibadilishe rangi.... Sasa kama unataka nikugharimie kihivyo, ya nini utake nihangaike vilevile kukufikisha kunako kilele cha kibo? Yaani wewe unapata faida mara mbili.....Ungechagua moja kati ya haya...kufika kibo au hela na siyo kupata vyote kwa pamoja. Mbona mnataka kutupunja sisi wanaume?
Kuanzia sasa, ukigharimiwa basi sahau suala la kufikishwa kibo, ukitaka ufikishwe kibo basi na wewe uchangie gharama za maandalizi ya shughuli.......

mkuu ukija kwenye swala la kuchagua usishangae akachagua pesa alfu akatafuta mtu mwngne wa kumfkiasha kilimanjaro hapo unaonaje si kapunguza majukimu pia?
 
Haaaa hadi kumfikisha mtu kilele cha mlima unakua bahili

nasikia naenyewe ni kazi kama unasomea degree ya PHD.

sijui papasa mapaja kwa dakika 30,kisha mbusu shingo kwa takribani dakika 15 huku ukimuongelesha maneno ya upole.
then ukiona anahema haraka haraka peleka ulimi taaaratibu sijui kwenye Gsport,zungurusha kwa degree 360,ukiona anaanza kutoa milio fulani blahblah..............
 
wewe utakua huwafikishi huko kibo kwako ndo maana wanakuomba ili kufidia, halafu hata ukifikishwa mwanaume anaejielewa huwa hasubiri kuombwa anajua tu mtu anatakiwa kurudi alipotoka na kufahamu hali yako na wajibu wake anajiongeza kukupa mwenyewe. acha ubahili wewe maisha kusaidiana kama ni wapenzi ndio hapo mnajifunza kutegemeana na kusaidiana.
kwa ninavyokuona wewe hata ukioa utashindwa kumpa mkeo hela ya saloon kisa ulimfikisha kileleni usiku wake.
namhurumia sana gf wako (if at all u have one).
 
nasikia naenyewe ni kazi kama unasomea degree ya PHD.

sijui papasa mapaja kwa dakika 30,kisha mbusu shingo kwa takribani dakika 15 huku ukimuongelesha maneno ya upole.
then ukiona anahema haraka haraka peleka ulimi taaaratibu sijui kwenye Gsport,zungurusha kwa degree 360,ukiona anaanza kutoa milio fulani blahblah..............
yes..ni proffesion..inaitwa gigolo..you can search it.
 
Mi huwa nawashangaa sana madada,
Nimekupeleka lunch,... nikakupeleka saluni, nikatafuta chumba ili tubenjue ile amri ya 6, wakati tunaibenjua hiyo amri, unadai eti nikufikishe kunako kilele. Mara baada ya shughuli, unadai eti hela...huwa mnasemaga hivi....., ooh, nifanyie mpango nikanywe supu....ooh, nataka nauli ya taxi nirudi nyumbani.,....halafu hizi kucha nataka nikazibadilishe rangi.... Sasa kama unataka nikugharimie kihivyo, ya nini utake nihangaike vilevile kukufikisha kunako kilele cha kibo? Yaani wewe unapata faida mara mbili.....Ungechagua moja kati ya haya...kufika kibo au hela na siyo kupata vyote kwa pamoja. Mbona mnataka kutupunja sisi wanaume?
Kuanzia sasa, ukigharimiwa basi sahau suala la kufikishwa kibo, ukitaka ufikishwe kibo basi na wewe uchangie gharama za maandalizi ya shughuli.......
Mkuu mpe tu maana kuvumilia dudu likusugue nusu saa ni wito
 
................. mbona unalia lia kwani wewe umejipangaje?
 
Back
Top Bottom