Akina dada bwana!, fedha au ufike kileleni, chagua moja,

Shalis ntakupeleka Everest ili ukaone fahari yote ya dunia hii...nipe tyme yako mama!!
duuuuh! una mistari iliyojificha!!! sasa huko everest ukimfikisha atarudije?...hahahaha Shalis usiache hiyo nafasi.....
 
si ndio hako baada ya kukapatia hela ya saluni na kulipia rum kalikuja na swaga la hela ya supu...... yaani mademu kwa kweli......
Usiseme mademu coz sio wote wana njaa kama huyo uliyekutana nae...huyo wako ana ziki kuu ndo mana anaomba, omba hovyo, mwambie wanawake siku hizi tunaweza, ila na wewe kama huyo ni mpenzi wako ni haki yako kumuhudumia, unataka nani ampe hela ya saluni?..na inaonekana humpi mpaka nywele zinachakaa anaamua kuomba. Uwe unampa pocket money bana!..
 
umeona eeh...hawa viumbe balaa...wanakula dabodabo.....halaf sisi inakula kwetu.....
 
Mkuu hicho kimeo kama vipi kipotezee bana. hii ya kulalamika lalamika inakupunguzia pointi
 
embu usitutie aibu hapa sio wote inategemea umepata mtu wa aina gani ....halafu punguza kuokota okota
 
embu usitutie aibu hapa sio wote inategemea umepata mtu wa aina gani ....halafu punguza kuokota okota

hakuna tofauti sana ila inategemea na vitu kwa wakati huo .. wengine beer wwengine wine ... chps kuku wengine dinner kempisk etc ila cha muhimu ni mizinga kwnai kila wakati wanajiweka kwenye value tofauti
 
yes, hata hao wanaojifanya eti hawako kama huyo wanaodai nilimwokota...wanapiga mizinga...tofauti ni aina ya mizinga tu kama ulivosema....
 
Usiseme mademu coz sio wote wana njaa kama huyo uliyekutana nae...huyo wako ana ziki kuu ndo mana anaomba, omba hovyo, mwambie wanawake siku hizi tunaweza, ila na wewe kama huyo ni mpenzi wako ni haki yako kumuhudumia, unataka nani ampe hela ya saluni?..na inaonekana humpi mpaka nywele zinachakaa anaamua kuomba. Uwe unampa pocket money bana!..

lakini isiwe kama toa kitu nikupe kitu ... suala la pesa la saloon ni la kawaida lakini lisiwe la kudai kiasi hicho maana ukishamvua chupi zinaanza vocha wakati hata sms hutumiwi ya asante, kunch , beer , etc ina maana unanivulia chupi kwa ajili ya kukuhudunia??? je ukipanua miguu hupati raha ?? nii sababu ya kutesana wakati wote tunatakiwa kuenjoy tendo na kufika kwenye kilele cha mlima???
 
Huo nao ni kama uchangudoa usiokuwa rasmi ingawa jamii imeurasmisha pasipo kujitambua!
 
Back
Top Bottom