Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,908
- 7,751
Kwa jinsi walivyoongea kwenye kongamano lao sikutegemea kama hawa jamaa wangekuwa kimya hivi.
Mbaya zaidi walikuwa wanaongea fact, Mzee Makamba akawaita WEHU!
Nilitegemea wangeshaonyesha msimamo wao wa kutoiunga CCM mkono waziwazi ili kubadilisha timu ya wezi na kuiweka timu ya waadilifu serikalini.
Hapa ndipo ninapoamini kuwa SIASA haiendeshwi bila unafiki!
Wafanye nini wazee wa watu? Walishajisemeaga wakamaliza, mawazoni mwao nadhani walitegemea labda ile move inge-spark reaction from the crowd (public) lakini wapi bwana.Kwa jinsi walivyoongea kwenye kongamano lao sikutegemea kama hawa jamaa wangekuwa kimya hivi.
Mbaya zaidi walikuwa wanaongea fact, Mzee Makamba akawaita WEHU!
Nilitegemea wangeshaonyesha msimamo wao wa kutoiunga CCM mkono waziwazi ili kubadilisha timu ya wezi na kuiweka timu ya waadilifu serikalini.
Hapa ndipo ninapoamini kuwa SIASA haiendeshwi bila unafiki!
Wafanye nini wazee wa watu? Walishajisemeaga wakamaliza, mawazoni mwao nadhani walitegemea labda ile move inge-spark reaction from the crowd (public) lakini wapi bwana.
Nani hata alitishia (kutishia tu) kufanya maandamano ya kuwaunga mkono?
Wabongo (wasomi na kinyume chake) woote kimyaaa.
Nchi hii tunahitaji Rawlings (au hata Kagame) wetu ili tunyooke na kuanza kuwa na mitizamo ambayo ni tangible.
Slaa anaweza kujaribu (na nitampigia kura kwa vile hakuna aliye bora mwingine kwa sasa), lakini sina uhakika he is as steely as those two I have mentioned.
Na viongozi wenzake watakuwa akina nani?
Butiku yupo. Afya yake haijawa nzuri siku za hivi karibuni. Kafanyiwa operesheni lakini nasikia anaendelea vizuri. Tusiwe wepesi kuhukumu.
Sasa utampigiaje kura mtu usiye na hakika naye?......................... lakini sina uhakika he is as steely as those two I have mentioned.
Sijui ni lini wadanganyika tutaacha kuwa washirikina au kuamini ushirikina! Ni aibuIsije ikawa ndio mambo ya Sheikh Yahya kuwa yeyote atakayekwenda kinyume na mkwere ataadhibika; maana baada ya lile kongamano pia tulisikia Sinde warioba nae akawa mahututi akapelekwa South!! Si mlisikia kuwa mara baada ya DR. Slaa kuchukua fomu jamaa alikimbilia Msoga na baada ya siku mbili Dr. akavunjika mkono eti bafuni; lakini safari hii hata mchinje kondoo ngapi hamuachiwi mpaka kieleweke!!
Sasa utampigiaje kura mtu usiye na hakika naye?
Wapo sana na wanaona ila watasemea wapi wakati wapo nje ya pango??hawapewi hata nafasi yakujihusisha na shughuli zozote za chama wamekuwa kama mimi nawewe!!!wamebanwa unacheza na hicho chama???:eyeroll2:Wapo chadema kupitia gazeti la Raia Mwema!
Mag3 amelijibu hili na sidhani kama kuna haja ya kuongeza kitu....Na viongozi wenzake watakuwa akina nani?
Isije ikawa ndio mambo ya Sheikh Yahya kuwa yeyote atakayekwenda kinyume na mkwere ataadhibika; maana baada ya lile kongamano pia tulisikia Sinde warioba nae akawa mahututi akapelekwa South!! Si mlisikia kuwa mara baada ya DR. Slaa kuchukua fomu jamaa alikimbilia Msoga na baada ya siku mbili Dr. akavunjika mkono eti bafuni; lakini safari hii hata mchinje kondoo ngapi hamuachiwi mpaka kieleweke!!
Sijui ni lini wadanganyika tutaacha kuwa washirikina au kuamini ushirikina! Ni aibu