Kaundime2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 1,085
- 459
Kiukweli sijawai sikia iki kitu huyu kaka anadai ana tatizo ambalo hajui alimalize vipi eti yeye akimuona mdada akampenda akisema amtongoze tu basi ataanza kumuona wa kawaida tu, akimkubali asimkubali tena anadai eti akikubali ndo kabisa anaweza ata asimwombe mchezo eti ile hamu inakuwa imeisha kabisa.
Sasa anasema siku hizi ameacha kutongoza akimpenda msichana anakuwa nae urafiki wa kawaida tu mana anajistukia msichana asije kumuona si riziki kama asipoomba mchezo sasa nikamuliza ina mana hautaoa, akasema atajua huko mbele ya safari kijana mwenyewe ana kama miaka kati ya 22-24.
Swali kwenu nyie wanaume hii ni hali ya kawaida tu kwa mwanaume au