Dam55
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,669
- 12,044
v
sasa mke kachepuka na mbaya zaid kapata vvu kwahiyo kesha vunja agano yeye mwenyeweKiapo cha ndoa: ....nitakupenda katika SHIDA na raha katika hali ya UGONJWA na uzima , nitakuwa na WEWE tuu mpaka KIFO kitakapotutenganisha