Akimtimua mkewe atakuwa na makosa?

Akimtimua mkewe atakuwa na makosa?

nani alikwambia ndoa ya kikristo haivunjiki brother......kuna mtu aliumbwa kuishi akiteseka milele? kanisa au msikiti ni wakala serikali, na ndoa inavunjwa na serikali.....acha fikra dhoofu...
Ndoa za Kikristo hazina talaka! fuatilia ujue, kaulize uambiwe. Yesu alikataa talaka kabisa!
 
Jamaa amefunga ndoa,ndoa ina miezi kadhaa hata mwaka bado ikafika kipindi wife akapata ujauzito.
Alipoenda kuanza clinic,vipimo vikaonesha ana maambukizi. Clinic wakamuambia aje na mumewe wapime wote, mume akapima hana hayo matatizo yupo salama.

Je jamaa afanyeje, ndoa na iwe basi au? Na pia mke ndo jeuri, kiburi, dharau na kejeli zimezidi mno mpaka nyumba inakuwa siyo sehemu ya kuishi mshikaji tena.

Je mshikaji akimtimua huyo wife atakuwa kakosea?
Upo umuhimu wa kupima UKIMWI kabla kufunga ndoa, afanye uamuzi sahihi
 
Jamani tuacheni kudanganyana, Mimi ni mkristo na hakuna nikifanyacho pasipo na Imani ya Mungu. Namuamini sana Mungu.

Mangimeli nahisi tatizo ni lako. Usiogope! Kwanza pole sana! Hivi ndugu zangu pamoja na ndoa zetu za kikristo za kula kiapo cha kufa na kuzikana, hivi kweli kuna mtu anapenda karaha?

Mwanamke jeuri,kiburi,fitina ni adui wa maendleo ndani ya nyumba. Mangimeli Mimi nlifukuzia mbali mwanamke nliezaa nae watoto wawili kisa upuuzi huo na tena nlikua na ndoa nae ya kikristo. Na hicho kiburi kumbe alikuaakikipata kwa hawa sub-husbands.

Halaf ndugu zangu wanaume asiwadanganye MTU, mwanamke akishaanza kuchit kuacha tabia hyo ni ngumu sana!

Ingekua ni issue ya yy kua na virusi pekee ningekushauri tofauti. Ila kwa kua umejazia na hizo sifa nyingine, basi ushauri wangu Mimi ni PIGAAAA CHINI...
brother umenigusa sana na naomba niweke wazi sasa tatizo ni langu moja kwa moja,na nimepiga chini ndo namalizia taratibu za kuwaelza wazazi wake,
 
Jamani tuacheni kudanganyana, Mimi ni mkristo na hakuna nikifanyacho pasipo na Imani ya Mungu. Namuamini sana Mungu.

Mangimeli nahisi tatizo ni lako. Usiogope! Kwanza pole sana! Hivi ndugu zangu pamoja na ndoa zetu za kikristo za kula kiapo cha kufa na kuzikana, hivi kweli kuna mtu anapenda karaha?

Mwanamke jeuri,kiburi,fitina ni adui wa maendleo ndani ya nyumba. Mangimeli Mimi nlifukuzia mbali mwanamke nliezaa nae watoto wawili kisa upuuzi huo na tena nlikua na ndoa nae ya kikristo. Na hicho kiburi kumbe alikuaakikipata kwa hawa sub-husbands.

Halaf ndugu zangu wanaume asiwadanganye MTU, mwanamke akishaanza kuchit kuacha tabia hyo ni ngumu sana!

Ingekua ni issue ya yy kua na virusi pekee ningekushauri tofauti. Ila kwa kua umejazia na hizo sifa nyingine, basi ushauri wangu Mimi ni PIGAAAA CHINI...
Naunga mkono hoja
 
broo nimepima mara mbili,kama taratibu zinavyosema
Tulia wewe kapime tena baada ya miezi mitatu usije kuta ni keria,
Ykikuta haunao basi piga chiniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
kwakuwa wamefunga ndoa kihalali kanisani, akimtimua atakuwa kakosea mbele ya Mungu. wanandoa wanapaswa kudumu daima hata kama kuna matatizo. asali sana na kuepuka maradhi asifanye nae kwanza tendo la ndoa na pia aende aongee na wachungaji wake
 
kama angekuwa hana jeuri,dharau,kiburi Hilo ningeliweza maana hata mimi ni binadamu na nna hofu ya mungu pia
 
Pole sana bro, kwa tunaojua kichaa cha mwanamke pindi anzapo ukichaa nje ya ndoa hatuezi kukushauri ubaki nae. Jamani wanawake wanatesa nyie, anyway bro najua utapata shda kwa mda fulani kwakua ulimzoea ila amini ipo siku utamsahau na maisha yataendlea. Na pls usioe tena kwanza, ipe akili mda wa kupumzika na kutafakari then ndio umuoe mwingine!! Ukikurupuka utakutana na janga jingine!!!
ndugu kama hayajakukuta unaweza kuhoji mengi sana ila ukweli mabadiliko yake ni zaidi ua asilimia 100
 
Mkuu unahoji yote haya kwakua hujapata misukosuko imara ya ndoa, mwanamke anaefanya umalaya elihali ana ndoa ni hatar sana. Kiburi na jeuri yake ambavyo ni zao au product ya umalaya wake huivuruga sana nyumba.

Tambua wazi kwa waliooa,maendleo hupatikana tu endapo mtafikiri pamoja, sasa hamuelewani kuna nini hapo.? Dhambi hutendeka na huwa twapata nafasi ya kutubu but siyo kwakubeba mizigo mizito eti kisa ukristo.
kwani we huko Lutheran mmefundishwa kuachana? au ulifunga serikalini?
 
Jamaa amefunga ndoa,ndoa ina miezi kadhaa hata mwaka bado ikafika kipindi wife akapata ujauzito.
Alipoenda kuanza clinic,vipimo vikaonesha ana maambukizi. Clinic wakamuambia aje na mumewe wapime wote, mume akapima hana hayo matatizo yupo salama.

Je jamaa afanyeje, ndoa na iwe basi au? Na pia mke ndo jeuri, kiburi, dharau na kejeli zimezidi mno mpaka nyumba inakuwa siyo sehemu ya kuishi mshikaji tena.

Je mshikaji akimtimua huyo wife atakuwa kakosea?
kiburi tena hege?
 
Back
Top Bottom