The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,110
- 115,886
kuna hili la sehemu kubwa ya jiji la daresalaam na miji mingine kuona
watu wengi wamejenga kiholela maeneo yasiyopimwa.
sasa kinachonishangaza ni kuwa mpaka viongozi wa ngazi za uwaziri
nao unakuta wamejenga maeneo ya skwata....
yaani vitongoji vikubwa kama kimara na mbagala.vyote hivyo ni skwata area,
na unakuta baadhi ya wanaojenga huko ni maofisa wa MIPANGO MIJI au
maofisa wa wizara ya ardhi,,,,,
hivi mtu kwenda chuo kikuuu na bado ukaenda kujenga maeneo yasiyopimwa maana yake nini????
eti njellu kasaka ana nyumba mbagala.na wengine wengi
yaaan eti maeneo ya viwanda vya nondo na kiwanda cha nguo
mbagala cha ktm yote hayo ni skwata,,,,,
na hakuna hata mtu mmoja aneona hilo ni tatizo