Mkuu umerusha jiwe gizani ngoja usiki keleleMwanaume akikusifia kwa kutembea nyonyo nje, nyie mnaita boobs na makalio yakishika nguo uliyovaa ukisema unaenda na wakati huwa na nia
moja tu, KUKUMEGA, KUKUCHAPA, na KUKUSHIKISHA ADABU KITANDANI, na Sifa zitaishia hapo.
Hakuna mwanaume SIRIAZ anayeweza kukubali kuoa mwanamke asiye SIRIAZ. Mwanamke anayeweza kuacha nje MALI ambazo ni FAHARI ya mumewe zionwe na kila Mwanaume. Nionyeshe Mwanamke mwenye tabia hizi za Hovyo aliyeolewa na Mwanaume Serious.
Wanaume sio wajinga kama wanavyoonekana usoni. Mpaka akupe Pete yake lazima awe na uhakika Level ya Ujinga kwenye akili yako ni Ziro maana anaoa KIONGOZI WA FAMILIA na sio Muuza mwili.
SHKAMOONI WOTE MNAO-BOOST NYONYO NA KUBANA KALIO, Kumegwa na kuachwa kwako ni GUARANTEE... Hatuoi Ujinga!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mavazi sio heshima tembea na chupi mbele ya baba yako!!!!!!!!!!!!!So una ushauri gani? Au wavae magunia......wanaume wengine bhana mnashangaza sana kwani umeambiwa mavazi ndo tabia ya mtu......kila mtu anavaa kile anachokipenda period
Kuna rafiki yangu ni mpole,mstaarabu,anavaa kiheshima sijawahi ona ila mpaka leo hajaolewa na kaishia kuzalishwa.....kama ndoa ipo ipo tu haina haja ya kupretend kuvaa kiheshima kisa uolewe lol
SI MUANDIKE MAPUNGUFU YETU NA NYIE KWANI MMEKATAZWA MAMA?Hivi hakuna vingine mtakavyoandika zaidi ya kukashifu jinsia KE?
Ninyi mbona mna mapungufu mnoo lakini?!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hapo nimeongelea kutembea uchi......acha kukurupukaKama mavazi sio heshima tembea na chupi mbele ya baba yako!!!!!!!!!!!!!
UJINGA AUJAWIHI KUWA NA UTETEZI
UNAPO SEMA MAVAZI SIO TABIA UNA MAANA GANI HATA CHUPI SI VAZI VAA BASI MBELE YA BABA YAKO,SISI NI WAAFRIKA ATUTAACHA KUSHAURI MAVAZI YENYE HESHIMA,POLE SANA MAANA NAONA UMEANZA KUJAA UPEPOKwani hapo nimeongelea kutembea uchi......acha kukurupuka
Yani wewe unachekesha sana mimi naandika huku nimerelax nakuacha uongee tu.......onyesha wapi nimesema chupi ni vazi la kutembea nalo barabarani!!! Kama wewe mwafrika kweli ungevaa ngozi utembee nazo barabarani......acha kujisifia kwa kitu usichokijuaUNAPO SEMA MAVAZI SIO TABIA UNA MAANA GANI HATA CHUPI SI VAZI VAA BASI MBELE YA BABA YAKO,SISI NI WAAFRIKA ATUTAACHA KUSHAURI MAVAZI YENYE HESHIMA,POLE SANA MAANA NAONA UMEANZA KUJAA UPEPO
Naomba nikutakie siku njema dadaYani wewe unachekesha sana mimi naandika huku nimerelax nakuacha uongee tu.......onyesha wapi nimesema chupi ni vazi la kutembea nalo barabarani!!! Kama wewe mwafrika kweli ungevaa ngozi utembee nazo barabarani......acha kujisifia kwa kitu usichokijua
Na wewe piaNaomba nikutakie siku njema dada
Mwanaume akikusifia kwa kutembea nyonyo nje, nyie mnaita boobs na makalio yakishika nguo uliyovaa ukisema unaenda na wakati huwa na nia
moja tu, KUKUMEGA, KUKUCHAPA, na KUKUSHIKISHA ADABU KITANDANI, na Sifa zitaishia hapo.
Hakuna mwanaume SIRIAZ anayeweza kukubali kuoa mwanamke asiye SIRIAZ. Mwanamke anayeweza kuacha nje MALI ambazo ni FAHARI ya mumewe zionwe na kila Mwanaume. Nionyeshe Mwanamke mwenye tabia hizi za Hovyo aliyeolewa na Mwanaume Serious.
Wanaume sio wajinga kama wanavyoonekana usoni. Mpaka akupe Pete yake lazima awe na uhakika Level ya Ujinga kwenye akili yako ni Ziro maana anaoa KIONGOZI WA FAMILIA na sio Muuza mwili.
SHKAMOONI WOTE MNAO-BOOST NYONYO NA KUBANA KALIO, Kumegwa na kuachwa kwako ni GUARANTEE... Hatuoi Ujinga!
Sent using Jamii Forums mobile app
Awazavyo mtu nafsini mwake, ndivyo alivyo! Sio kosa lako maana mtu huongea kile kinachoujaza moyo wake!Karibu Dar es Salaam, tukupe maji ya sharbati uache kupara-miwa huko kwenu makundu-uchi